Takwimu: Baleke vs Musonda

Takwimu: Baleke vs Musonda

Yan reject wa TP Mazembe aliyetolewa kwa mkopo unataka kumfananisha na top target na haohao Mazembe.

Wao wenyewe Mazembe wanajua kwa nini walikua wanamtaka Musonda na wakamtoa kwa mkopo Baleke
mkuu, muda ni mwalimu mzuri, jifunze kumfata
 
Mwamba ameendelea alipoishia
 
Nadhani ana goli 15 sasa.

Huyo msondo hata goli 5 Bado.

Muda ni Mwalimu mwema mno.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Kwahiyo kwenye Derby tulikosa cha kusema kuhusu hawa wawili.

Siku hiyo Musonda hakutia fora kabisa.

Baleke was the best pale timu ikiwa haina mpira achilia mbali zile nafasi alizokosa.

Kula chuma Hiyo.
 
Back
Top Bottom