Takwimu: Baleke vs Musonda

Takwimu: Baleke vs Musonda

Baleke goli tano Musonda goli 1 msimu unaoendelea 2023/2024.
 
Baleke goli tano Musonda goli 1 msimu unaoendelea 2023/2024.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Haya wadau, hivi karibuni kupitia usajili wa dirisha dogo tumeshuhudia timu za Simba na Yanga zikifanya usajili wa kuboresha timu zao.

Takwimu hizi ni kwa timu za kuanzia Premier na kuendelea..msituletee takwimu sijui mmecheza na Mbuni fc huko..hapana.
Hizo takwimu ziko wapi Basi!
 
Back
Top Bottom