Takwimu: Mtu mwenye umri wa chini ya miaka 50 kufa kwa Corona ni sawa na jogoo kutaga mayai, sasa kwanini tunapanic?

Ubonge wao umeupima kwa macho au ni kwa kilo zao?
Ukiangalia kwa macho tu unaona vile mtu mwili unampa shida ila mtu A anaweza kuwa na kilo 100 akawa bonge lakini mtu B akawa na kilo hizo hizo 100 na asiwe bonge kutokana na mazoezi anayofanya pamoja na body index mass yake!
 
Pole Sana we unaye ogopa kufa siye tunaogopa kuumwa.
Kufa siyo mpaka korona - hata bajaji yaweza kukupeleka.
"Be a great thinker"
 
Una ubinafsi sana mkuu

Kwahiyo wafe walio above 50 tubaki wa <50? au unamaanisha wazee na wenye chronic medical conditions wachukue tahadhar kivyao?
 
Una ubinafsi sana mkuu

Kwahiyo wafe walio above 50 tubaki wa <50? au unamaanisha wazee na wenye chronic medical conditions wachukue tahadhar kivyao?
Mimi sijasema hivyo, umenielewa vibaya tu
 
WaTanzania tusipeane hofu bila sababu za msingi, hofu inaua!
 
 
Ni kweli ulichoandika, na ndio mana watoto wadogo sio lazima kuvaa mask. Saa nyingine mtu anakuwa na pre_ existing conditions bila kujijua. Ugonjwa ambao hujajua unao, ndio mana always ni vizuri kuchukua tahafhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…