walotuletea ukristo hawa lakiniCountries with the Highest Percentage of Atheists:
๐จ๐ณ China: 91%
๐ฏ๐ต Japan: 86%
๐ธ๐ช Sweden: 78%
๐จ๐ฟ Czech Republic: 75%
๐ฌ๐ง United Kingdom: 72%
๐ง๐ช Belgium: 72%
๐ช๐ช Estonia: 72%
๐ฆ๐บ Australia: 70%
๐ณ๐ด Norway: 70%
๐ฉ๐ฐ Denmark: 68%
๐ป๐ณ Vietnam: 67%
๐ฉ๐ช Germany: 66%
๐ฐ๐ท South Korea: 65%
๐ช๐ธ Spain: 63%
๐จ๐ฆ Canada: 63%
๐ซ๐ฎ Finland: 62%
๐ซ๐ท France: 55%
(CEOWORLD magazine,world statistics)
Ulale sasa kalumbuNi Imani yao pia,haishangazi
Mwafrika huwezi kumtofautisha na uwepo wa super natural power. Usisingize wazungu hata kidogo na Imani tulikuwa nayo.Cha kushangaza ukristo hapa Tanzania tumeletewa na hao ambao kwao wana wapagani 70 % ya raia wao
Atheists si wapagani.Countries with the Highest Percentage of Atheists:
๐จ๐ณ China: 91%
๐ฏ๐ต Japan: 86%
๐ธ๐ช Sweden: 78%
๐จ๐ฟ Czech Republic: 75%
๐ฌ๐ง United Kingdom: 72%
๐ง๐ช Belgium: 72%
๐ช๐ช Estonia: 72%
๐ฆ๐บ Australia: 70%
๐ณ๐ด Norway: 70%
๐ฉ๐ฐ Denmark: 68%
๐ป๐ณ Vietnam: 67%
๐ฉ๐ช Germany: 66%
๐ฐ๐ท South Korea: 65%
๐ช๐ธ Spain: 63%
๐จ๐ฆ Canada: 63%
๐ซ๐ฎ Finland: 62%
๐ซ๐ท France: 55%
(CEOWORLD magazine,world statistics)
ndio haohao, hawana tofautiWapagani ni watu wa aina gani? Ningependa kujua wao na kafiri wanatofautiana nini?
wale walileta injili afrika kukawa na nuru, kwao giza limeingia wanahitaji waafrika wakawahubirieCha kushangaza ukristo hapa Tanzania tumeletewa na hao ambao kwao wana wapagani 70 % ya raia wao