Takwimu: Nchi zenye wapagani wengi zaidi duniani

Kivipi mkuu
Wapagani (Kiingereza Pagans) ni jina walilopewa watu ambao walikuwa wakiabudu miungu ya nje ya doninant culture, typically Ukristo. Yani watu walioabudu miungu kama ile ya zamani ya Ulaya, ya kabla ya Ukristo, pia, watu kama wa Africa walioabudu miungu ambayo haikujulikana Ulaya, walioitwa washenzi. Kimsingi Upagani ni kama neno lingine la kusema mshenzi anayeamini miungu ya uongo. Ingawa siku hizi kuna watu wanalichukua hilo jina na kulivaa, turning shame into glory.

Atheist ni mtu asiyeamini uwepo wa Mungu. Atheist si mpagani kwa sababu mpagani anaamini Mungu, ila Mungu wake ni tofauti na wa dominant culture tu.

Mpagani anaamini Mungu au miungu.
Atheist haamini Mungu wala miungu.
Hivyo, Atheist si mpagani.

Mkristo au Muislamu yuko karibu na mpagani kuliko atheist alivyo karibu na mpagani.

Kwa sababu, Mkiristo, Muislamu na Mpagani, wote wanaamini Mungu.

Atheist haamini Mungu kabisaa.
 
wapagani (Kiingereza Pagans) ni jina walilopewa watu ambao walikuwa wakiabudu miungu ya nje ya doninant culture, typicalky Ukristo. Yani watu walioabudu miungu kama ile ya zamani ya Ulaya, ya kabka ya Ukristo, pia, watu kama wa Africa walioabudu miungu ambayo haikujulikana Ulaya, walioitwa washenzi. Kimsingi Upagani ni kama neno lingine la kusema mshenzi anayeamini miungu ya uongo. Ingawa siku hizi juna watu wanalichujua hilo jina na kulivaa, turning shame into glory.

Atheist ni ntu asiyeamini uwepo wa Nu gu. Atgeist si mpagani kwa sababu mpagani anaamini Mungu, ika Mungu wake ni tofauti na wa dominant culture tu.

On point!!harafu watanzania wanachanganya hili sijui kwa nini
 
Countries with the Highest Percentage of Atheists:

🇨🇳 China: 91%
🇯🇵 Japan: 86%
🇸🇪 Sweden: 78%
🇨🇿 Czech Republic: 75%
🇬🇧 United Kingdom: 72%
🇧🇪 Belgium: 72%
🇪🇪 Estonia: 72%
🇦🇺 Australia: 70%
🇳🇴 Norway: 70%
🇩🇰 Denmark: 68%
🇻🇳 Vietnam: 67%
🇩🇪 Germany: 66%
🇰🇷 South Korea: 65%
🇪🇸 Spain: 63%
🇨🇦 Canada: 63%
🇫🇮 Finland: 62%
🇫🇷 France: 55%

(CEOWORLD magazine,world statistics)
Hapo norway nina mzazi mwezangu
 
wapagani (Kiingereza Pagans) ni jina walilopewa watu ambao walikuwa wakiabudu miungu ya nje ya doninant culture, typicalky Ukristo. Yani watu walioabudu miungu kama ile ya zamani ya Ulaya, ya kabka ya Ukristo, pia, watu kama wa Africa walioabudu miungu ambayo haikujulikana Ulaya, walioitwa washenzi. Kimsingi Upagani ni kama neno lingine la kusema mshenzi anayeamini miungu ya uongo. Ingawa siku hizi juna watu wanalichujua hilo jina na kulivaa, turning shame into glory.

Atheist ni ntu asiyeamini uwepo wa Nu gu. Atgeist si mpagani kwa sababu mpagani anaamini Mungu, ika Mungu wake ni tofauti na wa dominant culture tu.

Mpagani anaamini Mungu au miungu.
Atheist haamini Mungu wala miungu.
Hivyo, Atheist si mpagani.

Mkristo au Muislamu yuko karibu na mpagani kuliko atheist alivyo karibu na mpagani.

Kwa sababu, Mkiristo, Muislamu na Mpagani, wote wanaamini Mungu.

Atheist haamini Mungu kabisaa.
Ufafanuzi mzur sn mkuu, nmekuelewa kabisa 😊👍
 
Kwamba wao ndio wazee WA "666" 😂
huyu mwamba kuna wimbo mmoja wa JAY Z na mwengine wa LIL WYNE aliyaweka hadharani zile liync zake akawa anachambua neno moja moja aisee unaona wazi kabisa wasanii karibu 90/% wanamuimbia shetani na kimsifu shetani live
alikuwa na uwezo wa kuzichambua nyimbo nyingi
kwa ustadi mkubwa
huyu ndio aliyenifanya mpk leo kujua
80% ya makampuni makubwa yote marekani kam si DUNIA yanamilikiwa na WAYAHUDDI nilistajabu alivyomchambua STEVE JOB na MACK ZUCKEBERG mpk kupata vibasaba vyao vya uyahudi
mzee aliwachambua DELL na na ndugu wawili HEWLET na PACKARD(alimaarufu HP) mpk akapata vinasaba vya wayahudi bila kuwasahau wamuliki wa ADIDAS na NIKE
Alikuwa ni mnoma sana jamaa
 
Anaitwa nani nimtafute zaidi?
 
Back
Top Bottom