toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,965
- 12,556
Karibia nchi zote GDP ni kubwa kinoma, Je Mungu sisi hatupendi? Tumekosea wapiKwenye hiyo list,
1. Hamna hata nchi Moja Maskini
2. Hamna hata nchi Moja Toka Africa
Karibia nchi zote GDP ni kubwa kinoma, Je Mungu sisi hatupendi? Tumekosea wapiKwenye hiyo list,
1. Hamna hata nchi Moja Maskini
2. Hamna hata nchi Moja Toka Africa
Hakuna uhusiano wowote kati ya kukuzwa kwenye habari za mungu na kuwa mtu mzuri. Infact, watu wengi waliokuzwa kwenye dini ndio huwa watu wabaya kabisa kuwahi kutokea duniani kama kina Hitler, Mussolini, Osama, nkMpaka leo sielew mtu alielelewa na kukuzwa bila habari za uwepo wa mungu na mambo ya dhambi na hofu ya mungu anawezaje kuwa mtu mzuri katika jamii?
Umeniuzi sana nchi hizo Wana DINI zao mabuza wanazoabudu na ww wanakuona mpagani vile vileCountries with the Highest Percentage of Atheists:
🇨🇳 China: 91%
🇯🇵 Japan: 86%
🇸🇪 Sweden: 78%
🇨🇿 Czech Republic: 75%
🇬🇧 United Kingdom: 72%
🇧🇪 Belgium: 72%
🇪🇪 Estonia: 72%
🇦🇺 Australia: 70%
🇳🇴 Norway: 70%
🇩🇰 Denmark: 68%
🇻🇳 Vietnam: 67%
🇩🇪 Germany: 66%
🇰🇷 South Korea: 65%
🇪🇸 Spain: 63%
🇨🇦 Canada: 63%
🇫🇮 Finland: 62%
🇫🇷 France: 55%
(CEOWORLD magazine,world statistics)
Aliziteka akili na mioyo ya watu wajinga wajinga wanaopenda kusikia Stori za kusadikika......huyu mwamba kuna wimbo mmoja wa JAY Z na mwengine wa LIL WYNE aliyaweka hadharani zile liync zake akawa anachambua neno moja moja aisee unaona wazi kabisa wasanii karibu 90/% wanamuimbia shetani na kimsifu shetani live
alikuwa na uwezo wa kuzichambua nyimbo nyingi
kwa ustadi mkubwa
huyu ndio aliyenifanya mpk leo kujua
80% ya makampuni makubwa yote marekani kam si DUNIA yanamilikiwa na WAYAHUDDI nilistajabu alivyomchambua STEVE JOB na MACK ZUCKEBERG mpk kupata vibasaba vyao vya uyahudi
mzee aliwachambua DELL na na ndugu wawili HEWLET na PACKARD(alimaarufu HP) mpk akapata vinasaba vya wayahudi bila kuwasahau wamuliki wa ADIDAS na NIKE
Alikuwa ni mnoma sana jamaa
Sa Sawa na asiyekuwa mkristo huyo ni Pepo.Kafiri ni yeyote asiye muislamu,
Yaan usipokua mwislamu, wewe na ule "mjusi kafiri" Hamna tofauti mkuu😊
Sio kweliPagan ni mtu asiye na Iman na masuala ya dini.
Aamini katika juu ya Mungu au uwepo Shetani
RekebishaSio kweli
Wapagani ni watu wanaoamini katika miungu yao midogo midogo ya kutengenezwa, au miti au mizimu wakati Atheists hawaamini katika Mungu au Miungu yoyoteRekebisha
Wala uarabuni.Kwenye hiyo list,
1. Hamna hata nchi Moja Maskini
2. Hamna hata nchi Moja Toka Africa
Mfano mzuri sanaHakuna uhusiano wowote kati ya kukuzwa kwenye habari za mungu na kuwa mtu mzuri. Infact, watu wengi waliokuzwa kwenye dini ndio huwa watu wabaya kabisa kuwahi kutokea duniani kama kina Hitler, Mussolini, Osama, nk
nadhani wewe ndio mjinga mvivu wa kutafuta maarifaAliziteka akili na mioyo ya watu wajinga wajinga wanaopenda kusikia Stori za kusadikika......
Watu walioamua kuvifanya vichwa vyao kuwa dust bin za propaganda, uzushi, na hear say za ajabu ajabu pasi na hata chembe fikra kwenye bongo zao........
Kadri muda ulivyoenda watu fahamu zikawarejea na kuanza kumpuuzia....
Aliziteka akili na mioyo ya watu wajinga wajinga wanaopenda kusikia Stori za kusadikika......
Watu walioamua kuvifanya vichwa vyao kuwa dust bin za propaganda, uzushi, na hear say za ajabu ajabu pasi na hata chembe fikra kwenye bongo zao........
Kadri muda ulivyoenda watu fahamu zikawarejea na kuanza kumpuuzia....
Matendo ya Mitume 28 (Biblia Takatifu)Cha kushangaza ukristo hapa Tanzania tumeletewa na hao ambao kwao wana wapagani 70 % ya raia wao
Wewe ni katika walenadhani wewe ndio mjinga mvivu wa kutafuta maarifa
ni sema tu kipindi lile aliwapata wengi kwanza zilikuwa zamanza CD era na zama ambazo INTERNET na SOCIAL Media walikuwa wachache katika hiyo industry
7bu yote aliyoyasema yapo mitandaoni kwenye makala mbali mbali
na mengine waliyanena wenyewe wahusika kutoka katika vinywa vyao mahojino yo nk
mfano MICHAEL JACKSON nenda katafute mahojiano ya Michael kabla ya ile last tour yake iliyopangwa kifanyika O2 ARENA london ambayo ilikuja kufutwa baada kifo chake nadhani utajifunza mengi kumuhusu aliyekuwa boss wake na CEO wa zamani SONY MUSIC ENTRETIMANTE TOMMY MOTTOLA
nadhani ungetafuta makala ya mahojiano ya SIR ANDY CHANDE na ungesoma makala za BBC zikiwaelezea ILLUMINAT freemason zikiwaelezea kwa uchache kwa kufanya mahojiano na wanachana wake
napia ungzitafuta kwa kuseach hizi kampuni tatu BLACKROCK VANGUAD na STATE STREET ukishazisoma hizo kampuni kwa umakini rudi tena hapa niendelee kukutoa UJINGA
mana hata hapa JF watu wanajitahidi kuwaketea maarifa kwa LUGHA yenu ya kiswahili lkn mnakuwa bado wabishi mno
Countries with the Highest Percentage of Atheists:
🇨🇳 China: 91%
🇯🇵 Japan: 86%
🇸🇪 Sweden: 78%
🇨🇿 Czech Republic: 75%
🇬🇧 United Kingdom: 72%
🇧🇪 Belgium: 72%
🇪🇪 Estonia: 72%
🇦🇺 Australia: 70%
🇳🇴 Norway: 70%
🇩🇰 Denmark: 68%
🇻🇳 Vietnam: 67%
🇩🇪 Germany: 66%
🇰🇷 South Korea: 65%
🇪🇸 Spain: 63%
🇨🇦 Canada: 63%
🇫🇮 Finland: 62%
🇫🇷 France: 55%
(CEOWORLD magazine,world statistics)
View attachment 3279081
Unamfahamu Confucius ?Mpaka leo sielew mtu alielelewa na kukuzwa bila habari za uwepo wa mungu na mambo ya dhambi na hofu ya mungu anawezaje kuwa mtu mzuri katika jamii?