Takwimu: Nchi zenye wapagani wengi zaidi duniani

Hivi Wachina Huwa wanabarikiwa na Mungu yupi?


Huyu WA Ibrahim na yakobo au mwingine?๐Ÿค”
Wachina wanaongozwa na falsafa na sio Imani.
Wao wanasema mikono yako ndio Mungu wako,but wachina wa vijijini wanaamini miungu yao ya kichina.
Abrahamic religion ni Wakristo, waislamu na mayahudi
 
Ni kweli kuna siku nilikutana na raia wa japan kwenye story story nikawa namuuliza kuhusu dini yao ya Buddhist kwanza akasema yeye sio Buddhist then nikamuuliza dini gani au mkristo ndio kabisa hakashangaa kwanza hamjui hata yesu ndio nani isee..

Nikamuuliza sasa wewe ni imani yako ni nini alichonijibu eti yeye imani yake ni kufanya kazi kwa bidii tu kwenye maisha yake hajui haya mambo sijui ya dini dini hana huo muda kwanza kwao ni kazi tu kwa kwenda mbele.

nilimshangaa nikajisemea kumbe dunia ni kubwa sana na sijatembea kujionea maajabu yake..
 
Kwaiyo ukahisi yesu ni maarufu Sana mkuu๐Ÿ˜‚
 
Fafanua zaid
sio kweli , unachanganya, hiyo ni definition ya atheist, na atheist sio pagan. pagan ana imani ,atheist ndio hana imani .pagan anaamini nature kama muunganiko wa all living things. wanaamini deities au god and goddesses
 
mkuu rekebisha kichwa cha habari Pagan sio atheist. Atheist hawaamini chochote, Pagan wanaamini natural world and deities
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ