Lovelia de Valmorra
Senior Member
- Mar 14, 2025
- 132
- 182
hata mi nimemwambia atheist sio paganKachemka
yaani hapo huna tofauti na chawa anayepambania ccmAlafu kuna mimi uku jf nakazan kupambania dini nife kishujaq
Wapagani (Kiingereza Pagans) ni jina walilopewa watu ambao walikuwa wakiabudu miungu ya nje ya doninant culture, typically Ukristo. Yani watu walioabudu miungu kama ile ya zamani ya Ulaya, ya kabla ya Ukristo, pia, watu kama wa Africa walioabudu miungu ambayo haikujulikana Ulaya, walioitwa washenzi. Kimsingi Upagani ni kama neno lingine la kusema mshenzi anayeamini miungu ya uongo. Ingawa siku hizi kuna watu wanalichukua hilo jina na kulivaa, turning shame into glory.Kivipi mkuu
On point!!harafu watanzania wanachanganya hili sijui kwa niniwapagani (Kiingereza Pagans) ni jina walilopewa watu ambao walikuwa wakiabudu miungu ya nje ya doninant culture, typicalky Ukristo. Yani watu walioabudu miungu kama ile ya zamani ya Ulaya, ya kabka ya Ukristo, pia, watu kama wa Africa walioabudu miungu ambayo haikujulikana Ulaya, walioitwa washenzi. Kimsingi Upagani ni kama neno lingine la kusema mshenzi anayeamini miungu ya uongo. Ingawa siku hizi juna watu wanalichujua hilo jina na kulivaa, turning shame into glory.
Atheist ni ntu asiyeamini uwepo wa Nu gu. Atgeist si mpagani kwa sababu mpagani anaamini Mungu, ika Mungu wake ni tofauti na wa dominant culture tu.
Mpagani anaamini Mungu au miungu.
Atheist haamini Mungu wala miungu.
Hivyo, Atheist si mpagani.
Mkristo au Muislamu yuko karibu na mpagani kuliko atheist alivyo karibu na mpagani.
Kwa sababu, Mkiristo, Muislamu na Mpagani, wote wanaamini Mungu.
Atheist haamini Mungu kabisaa.
Hapo norway nina mzazi mwezanguCountries with the Highest Percentage of Atheists:
🇨🇳 China: 91%
🇯🇵 Japan: 86%
🇸🇪 Sweden: 78%
🇨🇿 Czech Republic: 75%
🇬🇧 United Kingdom: 72%
🇧🇪 Belgium: 72%
🇪🇪 Estonia: 72%
🇦🇺 Australia: 70%
🇳🇴 Norway: 70%
🇩🇰 Denmark: 68%
🇻🇳 Vietnam: 67%
🇩🇪 Germany: 66%
🇰🇷 South Korea: 65%
🇪🇸 Spain: 63%
🇨🇦 Canada: 63%
🇫🇮 Finland: 62%
🇫🇷 France: 55%
(CEOWORLD magazine,world statistics)
Ufafanuzi mzur sn mkuu, nmekuelewa kabisa 😊👍wapagani (Kiingereza Pagans) ni jina walilopewa watu ambao walikuwa wakiabudu miungu ya nje ya doninant culture, typicalky Ukristo. Yani watu walioabudu miungu kama ile ya zamani ya Ulaya, ya kabka ya Ukristo, pia, watu kama wa Africa walioabudu miungu ambayo haikujulikana Ulaya, walioitwa washenzi. Kimsingi Upagani ni kama neno lingine la kusema mshenzi anayeamini miungu ya uongo. Ingawa siku hizi juna watu wanalichujua hilo jina na kulivaa, turning shame into glory.
Atheist ni ntu asiyeamini uwepo wa Nu gu. Atgeist si mpagani kwa sababu mpagani anaamini Mungu, ika Mungu wake ni tofauti na wa dominant culture tu.
Mpagani anaamini Mungu au miungu.
Atheist haamini Mungu wala miungu.
Hivyo, Atheist si mpagani.
Mkristo au Muislamu yuko karibu na mpagani kuliko atheist alivyo karibu na mpagani.
Kwa sababu, Mkiristo, Muislamu na Mpagani, wote wanaamini Mungu.
Atheist haamini Mungu kabisaa.
Mpaka leo sielew mtu alielelewa na kukuzwa bila habari za uwepo wa mungu na mambo ya dhambi na hofu ya mungu anawezaje kuwa mtu mzuri katika jamii?Wachina ukiwaambia habar za Biblia au kuruani wanahisi umechanganyikiwa😅
Oi nitag nimelewa konyagi asubuhi nikumbukeUfafanuzi mzur sn mkuu, nmekuelewa kabisa 😊👍
Nina digrii ya kiwaki kutoka chuo chenu bora tz first classAta veta mkuu?😀
huyu mwamba kuna wimbo mmoja wa JAY Z na mwengine wa LIL WYNE aliyaweka hadharani zile liync zake akawa anachambua neno moja moja aisee unaona wazi kabisa wasanii karibu 90/% wanamuimbia shetani na kimsifu shetani liveKwamba wao ndio wazee WA "666" 😂
Anaitwa nani nimtafute zaidi?huyu mwamba kuna wimbo mmoja wa JAY Z na mwengine wa LIL WYNE aliyaweka hadharani zile liync zake akawa anachambua neno moja moja aisee unaona wazi kabisa wasanii karibu 90/% wanamuimbia shetani na kimsifu shetani live
alikuwa na uwezo wa kuzichambua nyimbo nyingi
kwa ustadi mkubwa
huyu ndio aliyenifanya mpk leo kujua
80% ya makampuni makubwa yote marekani kam si DUNIA yanamilikiwa na WAYAHUDDI nilistajabu alivyomchambua STEVE JOB na MACK ZUCKEBERG mpk kupata vibasaba vyao vya uyahudi
mzee aliwachambua DELL na na ndugu wawili HEWLET na PACKARD(alimaarufu HP) mpk akapata vinasaba vya wayahudi bila kuwasahau wamuliki wa ADIDAS na NIKE
Alikuwa ni mnoma sana jamaa
Nimestuka kuona Title inazungumzia wapagani ndani inataja AtheistsAtheist ==Pagan ?
🤣🤣.hayo ni ya kupita tu.Hivi Wachina Huwa wanabarikiwa na Mungu yupi?
Huyu WA Ibrahim na yakobo au mwingine?🤔