Takwimu: Nchi zenye wapagani wengi zaidi duniani

Mpaka leo sielew mtu alielelewa na kukuzwa bila habari za uwepo wa mungu na mambo ya dhambi na hofu ya mungu anawezaje kuwa mtu mzuri katika jamii?
Hakuna uhusiano wowote kati ya kukuzwa kwenye habari za mungu na kuwa mtu mzuri. Infact, watu wengi waliokuzwa kwenye dini ndio huwa watu wabaya kabisa kuwahi kutokea duniani kama kina Hitler, Mussolini, Osama, nk
 
Cha kusikitisha kuna mtu wa uyole kule ndani ndani kashikilia udini kama uinjililist ulianzia ukoo wao
 
Umeniuzi sana nchi hizo Wana DINI zao mabuza wanazoabudu na ww wanakuona mpagani vile vile
 
Aliziteka akili na mioyo ya watu wajinga wajinga wanaopenda kusikia Stori za kusadikika......

Watu walioamua kuvifanya vichwa vyao kuwa dust bin za propaganda, uzushi, na hear say za ajabu ajabu pasi na hata chembe fikra kwenye bongo zao........

Kadri muda ulivyoenda watu fahamu zikawarejea na kuanza kumpuuzia....
 
Hakuna uhusiano wowote kati ya kukuzwa kwenye habari za mungu na kuwa mtu mzuri. Infact, watu wengi waliokuzwa kwenye dini ndio huwa watu wabaya kabisa kuwahi kutokea duniani kama kina Hitler, Mussolini, Osama, nk
Mfano mzuri sana
 
nadhani wewe ndio mjinga mvivu wa kutafuta maarifa
ni sema tu kipindi lile aliwapata wengi kwanza zilikuwa zamanza CD era na zama ambazo INTERNET na SOCIAL Media walikuwa wachache katika hiyo industry
7bu yote aliyoyasema yapo mitandaoni kwenye makala mbali mbali
na mengine waliyanena wenyewe wahusika kutoka katika vinywa vyao mahojino yo nk
mfano MICHAEL JACKSON nenda katafute mahojiano ya Michael kabla ya ile last tour yake iliyopangwa kifanyika O2 ARENA london ambayo ilikuja kufutwa baada kifo chake nadhani utajifunza mengi kumuhusu aliyekuwa boss wake na CEO wa zamani SONY MUSIC ENTRETIMANTE TOMMY MOTTOLA
nadhani ungetafuta makala ya mahojiano ya SIR ANDY CHANDE na ungesoma makala za BBC zikiwaelezea ILLUMINAT freemason zikiwaelezea kwa uchache kwa kufanya mahojiano na wanachana wake
napia ungzitafuta kwa kuseach hizi kampuni tatu BLACKROCK VANGUAD na STATE STREET ukishazisoma hizo kampuni kwa umakini rudi tena hapa niendelee kukutoa UJINGA
mana hata hapa JF watu wanajitahidi kuwaketea maarifa kwa LUGHA yenu ya kiswahili lkn mnakuwa bado wabishi mno
 
Cha kushangaza ukristo hapa Tanzania tumeletewa na hao ambao kwao wana wapagani 70 % ya raia wao
Matendo ya Mitume 28 (Biblia Takatifu)
ยฏยฏยฏยฏยฏยฏยฏยฏยฏยฏ
ยฒโต Na walipokuwa hawapatani wao kwa wao, wakaenda zao, Paulo alipokwisha kusema neno hili moja, ya kwamba, Roho Mtakatifu alinena vema na baba zetu, kwa kinywa cha nabii Isaya,
ยฒโถ akisema, Enenda kwa watu hawa, ukawaambie, Kusikia, mtasikia wala hamtafahamu; Na kuona, mtaona wala hamtatambua;
ยฒโท Kwa maana mioyo ya watu hawa imepumbaa, Na masikio yao ni mazito ya kusikia, Na macho yao wameyafumba; Wasije wakaona kwa macho yao, Na kusikia kwa masikio yao, Na kufahamu kwa mioyo yao, Na kubadili nia zao, nikawaponya.
ยฒโธ Basi ijulikane kwenu ya kwamba wokovu huu wa Mungu umepelekwa kwa Mataifa, nao watasikia!
ยฒโน Alipokwisha kusema hayo, Wayahudi wakaenda zao, wakiulizana mengi wao kwa wao.]
 
Wewe ni katika wale
 
Nchi zinazo ongoza duniani kwa wakana Mungu.

Countries with the Highest Percentage of Atheists:
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ณ China: 91%
๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ต Japan: 86%
๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡ช Sweden: 78%
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฟ Czech Republic: 75%
๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง United Kingdom: 72%
๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ช Belgium: 72%
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ช Estonia: 72%
๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ Australia: 70%
๐Ÿ‡ณ๐Ÿ‡ด Norway: 70%
๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฐ Denmark: 68%
๐Ÿ‡ป๐Ÿ‡ณ Vietnam: 67%
๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Germany: 66%
๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ท South Korea: 65%
๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Spain: 63%
๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ Canada: 63%
๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ฎ Finland: 62%
๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท France: 55%
 
Mungu ni nani? tuanzie hapo.

Huwezi kumkuta mhindi anaabudu sanamu au ng'ombe afu useme hamuamini Mungu wakati hilo sanamu au ng'ombe ndio mungu wake.
 
Sasa wakoloni waliozileta hizi dini walitoka wapi?
 
Nchi zenye wapagani wengi zaidi ni nchi za kiafrika .

Afrika wamejaa wazinzi
Wanga
Wabakaji
Wezi
Wazurumaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ