Takwimu za Al Masry ni za kawaida wala hazitishi

Meja Jenerali Isamuhyo

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2017
Posts
3,709
Reaction score
10,896
Kuelekea mchezo wa Al Masry dhidi ya Simba katika Kombe la Shirikisho Afrika, hizi ni takwimu za Al Masry na Simba katika hatua ya Makundi.

Kwenye michezo sita ya makundi,
Al Masry kafanya ifuatavyo;
Kashinda - 2
Kadroo - 3
Kafungwa - 1
Kafunga goli - 7
Kafungwa goli - 4
Clean sheet - 2

Hii inatoa taswira kwamba Simba Sports akikomaa vizuri huyu mwarabu koko anafungika vizuri bila shaka.

Kila la heri kwa Simba Sports, wawakilishi sahihi wa Tanzania kimataifa
IMG_5920.jpeg
 
Asante sana kwa Takwimu mkuu.
Jamaa hawatishi sana na hawana Timu nzuri kiasi hicho.

1. Simba nayo sio timu bora sana bado ina wachezaji wa kawaida mno Daraja C&D.

2. Wachezaji Muhimu sana wa Simba Daraja A ambao hawazidi wa 5 kwenye timu wana majeruhi wawili
Kamara na
Che Malone Fondoh..

3. Usisahau pia hatua za Mtoano hawaangalii sana Ubora wa Timu au matokeo ya Nyuma.
Hapo ni kuwa na wachezaji wanaoweza kuamua Mchezo mkubwa.
Yani namaanisha hapo uwe na quality ya Juu kama
Mayele.
Chama nk.

4. Ukweli mchungu sana lakini simba ina mchezo Mgumu mno ikitoboa hapo inachukua Ubingwa otherwise iuze kama 1993
 
Huko mbele kuna Zamalek, Rs Berkane , USM Alger's
 
Simba fanyeni kila liwezekanalo ili mtolewe kwenye hii hatua. Aisee kufika fainali siyo kazi nyepesi! Waulizenu kaka zenu wa Yanga wawape mbinu! Lazima uwe mkatili kwenye kupindua meza.

NB: haya siyo yale mashindano ya bonanza ya zamani. Hapa unatakiwa uvimbe kweli kweli hata kama kombe lenyewe ni looser cup!
 
Simba ilishacheza final shirikisho mwaka 1993,Rais Samia aliwathibitishia mlipo mualika kwenye Tamasha lenu baada ya kufika final 2023
 
Huyo bingwa katika hiyo fainali, alikuja kucheza CAF super cup dhidi ya timu gani?
 
Hapakua na kombe la shirikisho 1993,acheni ukilaza, shirikisho limeanza 2003
Shirikisho kabla ya 2003 ilikuwa inadhaminiwa na wadhamini tofauti tofauti kama ligu kuu ..msimu huu NBC,msimu mwingine CRDB,msimu mwingine Vodaco...acha kupotosha watu.....we ndio kilaza usiojua kitu chochote...Hamna kitu yanga itafanya ndani ya nchi hii ambayo Simba haikufanya.
 
Kuelekea mchezo wa Al Masry dhidi ya Simba katika Kombe la Shirikisho Afrika, hizi ni takwimu za Al Masry na Simba katika hatua ya Makundi.

Kwenye michezo sita ya makundi,
Al Masry kafanya ifuatavyo;
Kashinda - 2
Kadroo - 3
Kafungwa - 1
Kafunga goli - 7
Kafungwa goli - 4
Clean sheet - 2

Hii inatoa taswira kwamba Simba Sports akikomaa vizuri huyu mwarabu koko anafungika vizuri bila shaka.

Kila la heri kwa Simba Sports, wawakilishi sahihi wa Tanzania kimataifa
View attachment 3287651
Hata takwimu za yanga nizakawaida ila mnyama alikimbia hadi mwituni hata asikutane huko na yanga hata alivyomfuata mwituni.
 
Asante sana kwa Takwimu mkuu.
Jamaa hawatishi sana na hawana Timu nzuri kiasi hicho.

1. Simba nayo sio timu bora sana bado ina wachezaji wa kawaida mno Daraja C&D.

2. Wachezaji Muhimu sana wa Simba Daraja A ambao hawazidi wa 5 kwenye timu wana majeruhi wawili
Kamara na
Che Malone Fondoh..

3. Usisahau pia hatua za Mtoano hawaangalii sana Ubora wa Timu au matokeo ya Nyuma.
Hapo ni kuwa na wachezaji wanaoweza kuamua Mchezo mkubwa.
Yani namaanisha hapo uwe na quality ya Juu kama
Mayele.
Chama nk.

4. Ukweli mchungu sana lakini simba ina mchezo Mgumu mno ikitoboa hapo inachukua Ubingwa otherwise iuze kama 1993
Acha kuonuesha ujinga wako hadharani, Simba Ina wachezaji wengi wa kawaida ila wachezaji wenye uwezo kama Mayele na ChamHii nchi ina ushabiki wa kijinga sana.
Asante sana kwa Takwimu mkuu.
Jamaa hawatishi sana na hawana Timu nzuri kiasi hicho.

1. Simba nayo sio timu bora sana bado ina wachezaji wa kawaida mno Daraja C&D.

2. Wachezaji Muhimu sana wa Simba Daraja A ambao hawazidi wa 5 kwenye timu wana majeruhi wawili
Kamara na
Che Malone Fondoh..

3. Usisahau pia hatua za Mtoano hawaangalii sana Ubora wa Timu au matokeo ya Nyuma.
Hapo ni kuwa na wachezaji wanaoweza kuamua Mchezo mkubwa.
Yani namaanisha hapo uwe na quality ya Juu kama
Mayele.
Chama nk.

4. Ukweli mchungu sana lakini simba ina mchezo Mgumu mno ikitoboa hapo inachukua Ubingwa otherwise iuze kama 1993
Acha kuonyesha ujinga wako hadharani !!! Usiandike taka taka ukafikiri una andikia wajinga wenzio.
 
Shirikisho kabla ya 2003 ilikuwa inadhaminiwa na wadhamini tofauti tofauti kama ligu kuu ..msimu huu NBC,msimu mwingine CRDB,msimu mwingine Vodaco...acha kupotosha watu.....we ndio kilaza usiojua kitu chochote...Hamna kitu yanga itafanya ndani ya nchi hii ambayo Simba haikufanya.
Kombe la shirikisho lilianza 2003 pimbi wewe,1993 simba ilicheza final caf cup, palikua na caf cup,winners cup na champions cup,caf cup na winners yalifutwa likaletwa shirikisho, tatizo mpira mmeanza kuufuatilia wakati unaoneshwa na azam tv
 
Back
Top Bottom