Takwimu za Corona zinatia shaka, si kwa Afrika hata kwa mabeberu

Takwimu za Corona zinatia shaka, si kwa Afrika hata kwa mabeberu

Wakulonga

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2012
Posts
762
Reaction score
771
Habari wana JF

Ndugu zangu hizi takwimu zitolewazo na nchi husika mimi naona bado zina ukakasi sio tu kwa Africa hata kwa mabeberu inawezakana vip nchi kama Uingereza na Spain toka ugonjwa uingie huko hakuna aliyepona hata mmoja hii inaingia akilini kweli. Hivi kwenye ugonjwa huu mbona mabeberu wanatuzuga sana.
Ngoja sisi tuchape kazi wao waache wajiloki dauni

2504B877-16E3-4DA8-82DD-7C16791F36C8.png
 
Yaani.....hat PM Borris hajapona[emoji23][emoji23]wacheni tu tuendelee na yetu,lkwanza tunawindwa na mengi siyo Corona pakeyake.. Sikusudii kufa njaa na depression mimi! Lokudauni siziwezi mie ndege mchumia kinywani.
 
Yaani ni kituko cha historia au wamesahau kuwa walituambia waziri mkuu wao alikuwa na COVID -19 . Ama kweli muongo anasahau aliyoyasema
 
nyie sijui mnaongelea data za sayari gani?? mmetumwa na CCM nini?
 
Hii inaitwa silent superspreader,,yaani alieunda hili zengwe alituweza sana,,nilishangaa UK wamehit 50,000 death,,
 
Mbona ni kama hujatumia akili zako vizuri.Yaani wewe umeona sifuri tu kwenye recovered ukahitimisha kua hakuna aliyepona na wakati huo huo unaona namba za confirmed ziko tofauti na death.
 
Kwa hiyo huyu bwana boris johnson hakupona korona, naye kafa...
 
Back
Top Bottom