Takwimu za Corona zinatia shaka, si kwa Afrika hata kwa mabeberu

Takwimu za Corona zinatia shaka, si kwa Afrika hata kwa mabeberu

takwimu za Tanzania tuna jumla idadi ya watu milioni 60 ikiongozwa na mkoa wa Dar es salaam wenye jumla ya wakaaazi milioni karibu 10.
hii ndio takwimu itakayo tusaidia kupanga maendeleo ya wananchi wetu kwa miaka zaidi ya 5 ijayo
 
Sisi tuko hapa na hatuna wasiwasi na tuna dunda:

 
Idadi ya wagonjwa inatengenezwa kuonekana ni ya kutisha na watu wamepewa hela iwe hivyo...Nina rafiki yangu Nigeria ananambia NCDC wanatangaza namba ya wagonjwa ambayo haipo wala wagonjwa hawajulikani
Nasikia WHO walimpa billions of money rais wa madascar ili dawa yake isiponyeshe watu lakini alikataa!
 
Habari wana JF

Ndugu zangu hizi takwimu zitolewazo na nchi husika mimi naona bado zina ukakasi sio tu kwa Africa hata kwa mabeberu inawezakana vip nchi kama Uingereza na Spain toka ugonjwa uingie huko hakuna aliyepona hata mmoja hii inaingia akilini kweli. Hivi kwenye ugonjwa huu mbona mabeberu wanatuzuga sana.
Ngoja sisi tuchape kazi wao waache wajiloki dauni

Mbona PM wa UK alipona lkn takwimu zinaonyesha ziro? Huyo aliyejaza hizo takwimu naye ni ziro.

Vv
 
Kwahiyo walipuuza maelekezo ya wataalamu wao,mbali na kwamba marekani ndio inaongoza kwa vifo!!!!
Wamepuuza ee si unaona kwenye maandamano watu nyomiii na hakuna tena social distancing.
 
Huo ugonjwa ungekuwa tishio tungesikia timu kubwa za ulaya kafa hata mchezaji mmoja kila timu, lkn zii wazungu nao ni wapishi wa data haiwezekani UK wafe laki3 hlf hakuna hata mtu mmoja maarufu
 
Corona ni vijimafua visivyo na madhara, haviwez kuua hata kuku ila promo lake sasa lilivyopigwa dunia nzima utazani kweli!
 
Back
Top Bottom