Ndondocha mkuu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2014
- 2,490
- 2,965
HahahahahaMkuu unafaa uwe admin wa huu uzi maana kila updates kuhusu huu uzi lazima utoe kwa wakati.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahahaMkuu unafaa uwe admin wa huu uzi maana kila updates kuhusu huu uzi lazima utoe kwa wakati.
Shida ni ngumu sana kuusahau! [emoji1787][emoji1787][emoji1787]huu uzi kila siku ntakua namuomba mungu anifanye niusahau [emoji28][emoji28]
Hapana, huu uzi uendelee kuwepo. Ili tukiwaita wale jamaa "mbumbumbu" kuwepo na ushahidi kabisa, wasiseme tunawaonea!Kwa maslahi ya Umma na Taifa huu uzi uondolewe JF !!
Scars pia hakubaki nyuma!Na tukienda deep tukisema tuufanye huu mjadala kuwa mpana tukaamua kujadili mechanism ya hayo magoli magoli kwa kina namna yalivyo patikana tutaona namna mayele alivyokua akibustiwa na favour ya refa
Mimi nawaambieni wana yanga wenzangu huyu mayele mpaka msimu unaisha akikaa vibaya atakuwa ameachwa gape kubwa ya magoli na onyango.
Kapoteza soko si tishio tena kwenye derby tunapata mashaka kwenye round ya pili ambayo sisi ndio wenyeji tutamtumia nani kama tishio ili kuwapa morale mashabiki
Upepo wa mayele umekata ghafla kama ule ulio mpitiaga mzee mpili, nahisi kuna haja ya kutowapigia promo wachezaji wetu kwa kuwajaza bichwa ili kuwafanya wasipotee haraka.
Ukatia neno mtaalamu [emoji23]Na tukienda deep tukisema tuufanye huu mjadala kuwa mpana tukaamua kujadili mechanism ya hayo magoli magoli kwa kina namna yalivyo patikana tutaona namna mayele alivyokua akibustiwa na favour ya refa
Mimi nawaambieni wana yanga wenzangu huyu mayele mpaka msimu unaisha akikaa vibaya atakuwa ameachwa gape kubwa ya magoli na onyango.
Kapoteza soko si tishio tena kwenye derby tunapata mashaka kwenye round ya pili ambayo sisi ndio wenyeji tutamtumia nani kama tishio ili kuwapa morale mashabiki
Upepo wa mayele umekata ghafla kama ule ulio mpitiaga mzee mpili, nahisi kuna haja ya kutowapigia promo wachezaji wetu kwa kuwajaza bichwa ili kuwafanya wasipotee haraka.
[emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Scars pia hakubaki nyuma!
Kibu vs Mayele....tarehe ya leo takwimu ikoje ?
Na tukienda deep tukisema tuufanye huu mjadala kuwa mpana tukaamua kujadili mechanism ya hayo magoli magoli kwa kina namna yalivyo patikana tutaona namna mayele alivyokua akibustiwa na favour ya refa
Mimi nawaambieni wana yanga wenzangu huyu mayele mpaka msimu unaisha akikaa vibaya atakuwa ameachwa gape kubwa ya magoli na onyango.
Kapoteza soko si tishio tena kwenye derby tunapata mashaka kwenye round ya pili ambayo sisi ndio wenyeji tutamtumia nani kama tishio ili kuwapa morale mashabiki
Upepo wa mayele umekata ghafla kama ule ulio mpitiaga mzee mpili, nahisi kuna haja ya kutowapigia promo wachezaji wetu kwa kuwajaza bichwa ili kuwafanya wasipotee haraka.
[emoji23][emoji23]anauzi mwingine huko wa Azizi KLeo uzi huu unatimiza mwaka mmoja , kwa hiyo leo ni happy birthday tarehe na mwezi kama huu mwaka huu uzi ulianzishwa hapa Jf .Miimi najitolea keki [emoji512][emoji512][emoji512][emoji512][emoji512][emoji512][emoji512][emoji513]
AnamikimbioKibu Denis ni mmaliziaji mzuri sana. Anachohitaji wakati huu ni support yetu sisi mashabiki ili aweze kuimaliza Simba.