Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

Ki msingi kuna tofauti ndogo sana kati ya Mayele, Nchimbi, Sarpong na Yikpe
 
Kibu bado sana kwa Mayele

Kibu anafunga magoli mepesi hata asiyejua mpira anafunga

Ni goli moja tu (la mwisho la juzi) ndo niliona la maana, mengine yote ni obvious
 
Umeelewa lakini? Hizo takwimu hazijasema ligi kuu pekee.
Kumbe sio ligi kuu pekee? Haya twende hapa pamoja,
Mayele kwenye ligi kuu ana magoli 3
Je kwenye ngao ya jamii hakutupia goli? Haya jumlisha hapo
Kwenye mechi za kirafiki kule Zanzibar hakutupia magoli? Haya jumlisha hapo je hesabu itakuwa jumla ni matatu kama mnavyodai?

Halafu kingine ni kwamba Kagere ambaye ni mwenyeji katika ligi kuu ana zaidi ya msimu muwili,, je ameachana na Mayele mwenye msimu mmoja usiofikia nusu msmu kwa magoli mangapi?
Je huyo Kibu Denis aliyekuwa mwenyeji na ligi kuu kamuacha Mayele magoli mangapi?

Vipi boko nae kamuacha Mayele goli ngapi?
 
Kibu bado sana kwa Mayele

Kibu anafunga magoli mepesi hata asiyejua mpira anafunga

Ni goli moja tu (la mwisho la juzi) ndo niliona la maana, mengine yote ni obvious
Kwa mlioangalia goli la Mayele vs Biashara utd nakazia tu hii comment yangu
 
Kibu bado sana kwa Mayele

Kibu anafunga magoli mepesi hata asiyejua mpira anafunga

Ni goli moja tu (la mwisho la juzi) ndo niliona la maana, mengine yote ni obvious
Mkuu kumlinganisha Kibu na Mayele ni kaishusha hadhi soka, Kibu mlinganishe na Nchimbi, ni sawa na kuwalinganisha Mesi na Lukaku
 
Taja hayo magoli ya favor
 
View attachment 2058407

umefika wakati maji yameanza kujitenga na mafuta [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ili ufananishe wachezaji kwa takwimu Kuna vitu vingi vya kuangalia.mfano uzoefu wa mazingira kwenye ligi husika.Kibu Denis ni mzoefu wa ligi na mazingira ya Bongo wakati Mayele hana muda mrefu kwenye ligi ya Bongo katika minajiri hiyo Huwezi kufananisha wachezaji hawa.Kwa mfano tuangalie kitakwimu niambie Kibu Denis ana Magoli mangapi kwenye timu yake ya Taifa tofauti na Mayele
 
Kagere, Tambwe, Okwi, Samatta kule Genk, n.k. walihitaji uzoefu wa muda gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…