Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu

Huu ni uchambuzi chupli chupli .......kwanza angalia utofauti kikosi cha Simba na yanga.....

Kikosi cha Yanga kila mtu anakufunga .....utaona feitoto , ntibazonkiza, DR Aucho ,. Mayele,. Mauya wote wanafunga so hicho ni kikosi bora

Simba Kuna wafungaj special ...kagere, morison, na kibu


Chambuen kiundani zaid


Kibu. Sura kama kirobot flan hiv
 
Kulinganisha mayele na kibu ni ku kosea mayele adabu
Kibu bado saana mayele bado mgeni kwenye league wewe subiri league raundi ya pili
Kwa taarifa tu ni kwamba ligi nyingi duniani huwa ngumu zaidi raundi ya pili sasa kama sasa hivi hapigi goli nyingi ukizisubiri raundi ya pili basi utakuwa umelala sana na hujui usemalo
.
Hata Ulaya utasikia round ya kwanza fulani anatisha mechi tano magoli 10 ila mwisho wa msimu unakuta kafunga magoli 25 kwa mechi 38
So huyo Mayele alitakiwa awe na goli nyingi zaidi sasa la sivyo ni wa kawaida tu kwani huko Congo alikuwa mfungaji bora?
 
Huko kwenu mwenye goals nyingi zaidi ya Mayele ni nani?
 
Umewataja kamba kwamba wanatupia sana uzuri stats huwa hazidanganyi;
Mayele ana goli ngapi?
Fei toto ana goli ngapi?
Ntiba ana goli ngapi?
Aucho ana goli ngapi?
Mauya ana goli ngapi?
 
sasa kama ni hivyo mbona goli la Ngao ya jamii hamjaliweka
ujue makolo mshavurugwa [emoji1787]

Tuvurugwe na mechi za mchangan,Team haliwezi hata kujisogeza hatua moja mashindano ya Kimataifa ndiyo lituvuruge,Uto kama Uto aka Kabwili FC mtakuwa mmechanganyikiwa.
 
Umeandika kwa kujitoa ufaham au kwa makusudi?
Mbona Onyango, Kagere, Zimbu Jr nk wote hao wametupia??
 
Makolo mmeumbwa kusahau haraka sana!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…