Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sisi tunacheza pira draft pira twaaap pasi sio kitu ambayo tunatakaNgoja makolo yaje kwa hasira kuushambulia uzi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja makolo yaje kwa hasira kuushambulia uzi[emoji23][emoji23][emoji23]
Ligi za vijana za Africa magumashi matupu we unaleta watoto wenzako wanakuletea madingi, tukifanya vetting pale wenye umri wa miaka 20 kushuka chini hawazidi 4.View attachment 2850216
makolo yanapita kimya kimya hapa maana yanagugumia maumivu ya makolo watoto leo wamekula 4G
Haya sawa geuzeni hizo pasi ziwe points 12 Mvuke makundi muingie Robo fainali pumbavu.Gamondi ameongeza kitu Yanga tumpe Maua yake !
Ni kweli aisee... japo mi ni simba fan ila mpira wa Yanga mtamu sana. Ukweli usemwe tu.yanga tamu asikwambie mtu
Ligi za vijana za Africa magumashi matupu we unaleta watoto wenzako wanakuletea madingi, tukifanya vetting pale wenye umri wa miaka 20 kushuka chini hawazidi 4.
Kote koteView attachment 2850216
makolo yanapita kimya kimya hapa maana yanagugumia maumivu ya makolo watoto leo wamekula 4G
Second leg ni 8-0 sio 🖐🏿Haya sawa geuzeni hizo pasi ziwe points 12 Mvuke makundi muingie Robo fainali pumbavu.