Takwimu za Mashambulizi yetu Iran zidi ya Mazayuni

Takwimu za Mashambulizi yetu Iran zidi ya Mazayuni

Minjingu Jingu

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2023
Posts
1,517
Reaction score
3,316
TUENDELEE KUIOMBEA IRAN ILI IWEZE LIPIZA KISASI KWA WALICHOTUFANYA HAWA MAZAYUNI. WAMETUTIA VIDOLE TUMEISHIA KUWARUSHIA MAWE.

Mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel (Juni 13-14, 2025)

Aina ya Mashambulizi

Iran ilirusha zaidi ya 100 droni, makombora ya balistiki, na makombora ya cruise.

Baadhi ya silaha zilifyatuliwa kutoka Iran, Iraq, Syria na Lebanon (kupitia washirika kama Hezbollah).

Kiasi kikubwa kilidunguliwa na mifumo ya ulinzi ya Israel (Iron Dome, David’s Sling, na msaada wa Marekani - THAAD & Aegis).

Vifo na Majeruhi

Watu 3 waliuawa nchini Israel (wakiwemo raia).

Takriban watu 30+ walijeruhiwa, baadhi yao vibaya.

Vifo vilitokea miji kama Jerusalem, Tel Aviv, na Rishon LeZion.

Uharibifu wa Miundombinu

Uharibifu mdogo umeripotiwa kwa:

Majengo ya makazi.

Barabara na magari yaliyoshambuliwa moja kwa moja.

Mfumo wa umeme na maji haukuathiriwa sana.

Uwanja wa ndege wa Ben Gurion ulifungwa kwa muda lakini ukafunguliwa tena haraka.

Athari za Kiuchumi

Hasara za moja kwa moja za mali bado zinakisiwa, lakini ni ndogo ukilinganisha na Iran.

Biashara zilisitishwa kwa muda, hasa kwenye maeneo ya mlipuko.

Hali ya wasiwasi imeathiri soko la hisa na bei za mafuta duniani.

Mashambulizi ya Iran dhidi ya Israel yameleta hasara ndogo ya moja kwa moja, lakini yanaonyesha uwezo wa Iran kulipiza kisasi na kutishia usalama wa Israel kwa njia ya viwango vipya vya makombora na droni.

Hata hivyo, Israel imepata hasara ndogo ikilinganishwa na uharibifu mkubwa uliotokea Iran, ambao umeua viongozi wakuu, kuharibu vituo vya nyuklia, na kuua zaidi ya watu 70.
 
Mtu wa pili baada ya kiongozi wako mkubwa General Hossain Salami anauwawa, Chief of Staff anauwawa kamanda wako jeshi la anga anauwawa, top scientist wanauwawa! Unadhani Iran inaweza kujibu hiki kipigo! Hili game Israel anacheza in a whole different level na hasa kwenye Intelligence, tuache ushabiki vita ni mbinu zaidi kuliko zana so Iran wanabadili tactics tu kurusha makombora kama mvua hakusaidii
 
Nakuelewa nasi tutajibu mapigo sheikh wangu. Nyie makafir nadhan mmeweka watu wenu hadi kwetu ....tutawafuta wote subirini tu tunajipanga.
 
Nguruwe wewe kafute baba yako fala mkubwa wewe
Kakukosea nini sasa Chief unamporomoshea matusi yote hayo na umevuna faida yoyote hapo?

Tupendane tuu na tuvumiliane

Wanapigana wanaume wote hapo, ila watazidiana ki akili

Mwenye upeo mdogo atapigwa, na bila shaka Iran atachezea za Engle na kutia hasara nchi yake
 
Mtu wa pili baada ya kiongozi wako mkubwa General Hossain Salami anauwawa, Chief of Staff anauwawa kamanda wako jeshi la anga anauwawa, top scientist wanauwawa! Unadhani Iran inaweza kujibu hiki kipigo! Hili game Israel anacheza in a whole different level na hasa kwenye Intelligence, tuache ushabiki vita ni mbinu zaidi kuliko zana so Iran wanabadili tactics tu kurusha makombora kama mvua hakusaidii
Hii ni dharau kubwa sana na udhalilishaji ulio pitiliza.
 
Mtu wa pili baada ya kiongozi wako mkubwa General Hossain Salami anauwawa, Chief of Staff anauwawa kamanda wako jeshi la anga anauwawa, top scientist wanauwawa! Unadhani Iran inaweza kujibu hiki kipigo! Hili game Israel anacheza in a whole different level na hasa kwenye Intelligence, tuache ushabiki vita ni mbinu zaidi kuliko zana so Iran wanabadili tactics tu kurusha makombora kama mvua hakusaidii
Haya mashambulio ni aibu kubwa kwa Iran ambaye kwa muda mrefu amejinadi kama taifa lenye nguvu na uwezo wa kuifuta Israel.
Hawa mazayuni hawana adabu,wanampelekea moto mkubwa Iran na wanagonga maeneo nyeti plus kuzunguka kwenye anga la Iran kama wako sebuleni kwao.
 
Kilichotokea kati ya iran na Israel ni sawa na mwanaume mwenzio akusokomeze kidole kwenye malinda mbele za watu halaf wewe unalipiza kisasi kwa kumtemea mate usoni

All in all iran amepiga sehem ambazo hazina mashiko ilitakiwa na yeye akalipue vinu vya nuklia vya israel
 
Back
Top Bottom