Mkuu....unadhan ni vitu gan vinavyosababisha mchezaji kuwa substituted????Mtetemesha matiti amekuwa substituted mara moja vs Phiri mara zote 7 (Kacheza dk chache)
Una maanisha mayele anapambana .......lkn phili anapiga vitu soft sio???[emoji23][emoji23][emoji23]Tunasama Phili anapiga kwenye vital signs ila mayele ni kubwa jinga hua anavurugu nyingi ila mwisho mwamsim wanaume wanabeba kiatu huku yeye akiambulia mifungo
Mkuu ina maana hujaona msaada wa brain master Chama kwa philiMayele akienda simba na Phiri kwenda yanga, Phiri ataibuka kidedea tu na Mayele atafuatia.
Mayele anabebwa na mafundi hatari huko but Phiri mara nyingi anajihangaikia mwenyewe tu.
Mkuu......CAF ndio waliompost mayele [emoji23][emoji23]Yaani na hat-trick za wafu wa zalani kutoka sudani kusini ambako hakuna uwanja hata mmoja wa nyasi nazo mnahesabu!! Ama kweli wenye akili huko usukuleni ni wawili tu.View attachment 2362916View attachment 2362917
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
CAF waliwapanga na hao wahanga wa vita wakilijua hilo . Maana walijua wakiwapanga na timu nyingine lazima mchezee kichapo na kuondolewa hatua za awali hivyo mngekata rufaa FIFA au kuandamana Ikulu kwa mama kwanini mpangiwe timu ngumu.Mkuu......CAF ndio waliompost mayele [emoji23][emoji23]View attachment 2362965
Kabsa mkuuUna maanisha mayele anapambana .......lkn phili anapiga vitu soft sio???[emoji23][emoji23][emoji23]
Namaanisha hakuna mchezaji mwenye jina la Phili Tanzania.Unamaanisha nn???
Daah nchi ngumu hii[emoji23][emoji23]CAF waliwapanga na hao wahanga wa vita wakilijua hilo . Maana walijua wakiwapanga na timu nyingine lazima mchezee kichapo na kuondolewa hatua za awali hivyo mngekata rufaa FIFA au kuandamana Ikulu kwa mama kwanini mpangiwe timu ngumu.
Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Nimeona, ni huyo tu mkuu, sijaona mwingine.Mkuu ina maana hujaona msaada wa brain master Chama kwa phili