Takwimu za Mayele vs Phiri, nani mkali?

Takwimu za Mayele vs Phiri, nani mkali?

Mtetemesha matiti amekuwa substituted mara moja vs Phiri mara zote 7 (Kacheza dk chache)
Mkuu....unadhan ni vitu gan vinavyosababisha mchezaji kuwa substituted????

Majibu
Accuracy ya ufungaji

Kujiamini

Kuibeba timu

So akifeli kimoja kati ya hivyo lazima awekwe sub
 
Tusubiri huyo "PHILI" akija kucheza ligi yetu ndio tuanze kulinganisha takwimu. Siyo sahihi kulinganisha wachezaji wasiocheza ligi moja.
Unamaanisha nn???
 
Kama alishindwa kuchukua kiatu mshindani wake akiwa Mpole hakuna striker hapo. Phiri ni killer!
 
Tunasama Phili anapiga kwenye vital signs ila mayele ni kubwa jinga hua anavurugu nyingi ila mwisho mwamsim wanaume wanabeba kiatu huku yeye akiambulia mifungo
Una maanisha mayele anapambana .......lkn phili anapiga vitu soft sio???[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mayele akienda simba na Phiri kwenda yanga, Phiri ataibuka kidedea tu na Mayele atafuatia.
Mayele anabebwa na mafundi hatari huko but Phiri mara nyingi anajihangaikia mwenyewe tu.
Mkuu ina maana hujaona msaada wa brain master Chama kwa phili
 
Yaani na hat-trick za wafu wa zalani kutoka sudani kusini ambako hakuna uwanja hata mmoja wa nyasi nazo mnahesabu!! Ama kweli wenye akili huko usukuleni ni wawili tu.View attachment 2362916View attachment 2362917

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Mkuu......CAF ndio waliompost mayele [emoji23][emoji23]
FB_IMG_16636805210038654.jpg
 
Mkuu......CAF ndio waliompost mayele [emoji23][emoji23]View attachment 2362965
CAF waliwapanga na hao wahanga wa vita wakilijua hilo . Maana walijua wakiwapanga na timu nyingine lazima mchezee kichapo na kuondolewa hatua za awali hivyo mngekata rufaa FIFA au kuandamana Ikulu kwa mama kwanini mpangiwe timu ngumu.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
 
CAF waliwapanga na hao wahanga wa vita wakilijua hilo . Maana walijua wakiwapanga na timu nyingine lazima mchezee kichapo na kuondolewa hatua za awali hivyo mngekata rufaa FIFA au kuandamana Ikulu kwa mama kwanini mpangiwe timu ngumu.

Sent from my Infinix X612 using JamiiForums mobile app
Daah nchi ngumu hii[emoji23][emoji23]
 
Huwezi kufananisha mtu mrefu na mfupi, labda kama huna akili, hopeless. Mrefu kivyovyote atashinda tu. Au ndio mambo ya center of gravity [emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom