Tubadilishe title .....iwe Phili vs kibu[emoji23][emoji23]OKW BOBAN SUNZU hebu waeleze hawa ndugu zako Mayele ni nani? Mimi nadhani Phiri ashindanishwe na Kibu Denis hukohuko Simba.
Mayele Sasa hivi anashindana kimataifa hana mshindani Tanzania hebu mpeni heshima yake.
Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu
umefika wakati maji yameanza kujitenga na mafuta 🤣🤣🤣🤣🤣🤣www.jamiiforums.com
Mmehama kwa mpole,Mayele ana hat trick 2 heavyweight za CAF CHAMPIONS lakini Phil ana goal Kali zaidi pale mjini CAF?????View attachment 2362752
Mtetemo Kidigakidiga ....Mayele ana nini cha ajabu?
Unafananisha ushuzi na hewa safi!!?Salaaam Wana JF
Baada ya kila upande wa wachambuzi na mashabiki wa mpira kuchambua ubora wa wachezaji hawa king Mayele vs king Phili katika kufumania nyavu leo nimekuletea takwimu zao za msimu huu
Takwimu zao za msimu huu king Mayele ( Mr hat trick) vs king Phili ( no hat trick)
King Mayele:
Michezo:. 7
Magoli :. 11
Assists:. 1
Hat trick:. 2
King Phili
Mechi. 7
Goal. 6
Assists. 0
Hat trick. 0
Takwimu hazidanganyi, Je Nani Ni mkali zaidi Kati ya Mayele vs Phili?????
Ni kukosa adabu kumpambanisha Mayele na PhiriOKW BOBAN SUNZU hebu waeleze hawa ndugu zako Mayele ni nani? Mimi nadhani Phiri ashindanishwe na Kibu Denis hukohuko Simba.
Mayele Sasa hivi anashindana kimataifa hana mshindani Tanzania hebu mpeni heshima yake.
Takwimu za Kibu D Vs Mayele zinatia uchungu
umefika wakati maji yameanza kujitenga na mafuta 🤣🤣🤣🤣🤣🤣www.jamiiforums.com
Yupi mkali mkuu
Sasa kwa nini unawalinganisha?Ina depend na mchezaji anaaminiwa vp na kocha & timu