Takwimu za Mayele vs Phiri, nani mkali?

Takwimu za Mayele vs Phiri, nani mkali?

Salaaam Wana JF

Baada ya kila upande wa wachambuzi na mashabiki wa mpira kuchambua ubora wa wachezaji hawa king Mayele vs king Phili katika kufumania nyavu leo nimekuletea takwimu zao za msimu huu

Takwimu zao za msimu huu king Mayele ( Mr hat trick) vs king Phili ( no hat trick)

King Mayele:
Michezo:. 7
Magoli :. 11
Assists:. 1
Hat trick:. 2

King Phili
Mechi. 7
Goal. 6
Assists. 0
Hat trick. 0

Takwimu hazidanganyi, Je Nani Ni mkali zaidi Kati ya Mayele vs Phili?????
Unafananisha ushuzi na hewa safi!!?
 

Attachments

  • IMG-20220920-WA0004.jpg
    IMG-20220920-WA0004.jpg
    56.5 KB · Views: 9
Sasa kwa nini unawalinganisha?
Basi angalau weka mashuti walioyapiga langoni tuone. Tusiende putaputa tutaonekana wajinga.
Wote ni wafungaji .....lkn wanaongozwa na makocha wenye skills tofauti
 
Usimfananishe Phili mcheza anayecheza timu kubwa inayocheza makombe makubwa kimataifa CAF na hiyo TAKATAKA
 
Back
Top Bottom