Wapo Ligi ya mabingwa Afrika ila usiowataja wapo huko uchocholonVipers na Simba ni pipa na mfuniko.
Takwimu zote kuhusu pasi zipo hapo, yaani zilizopigwa na zilizofika. Nitafute nini tena? Nilitaka nijue ubovu wa Simba unaotajwa ni upi, afadhali umesema kuwa kumbe timu ikipata mabao machache huwa ni mbovuTafuta takwimu zaidi hizo pasi zilikuwa zinakwenda wapi na ndio tatizo la ubovu wa simba kukosa magoli
Records don't lieSimba pasi 569 na zilizofika kwa usahihi ni 473, Vipers pasi 324 na zilizofika kwa usahihi ni 239, Yanga pasi 393 na zilizofika kwa usahihi ni 301, Bamako pasi 350 na zilizofika kwa usahihi ni 261.
Pasi za Simba zilizofika kwa usahihi ni nyingi kuliko pasi zote zilizopigwa na timu nyingine yoyote katika hizi mechi mbili. Vivyo hivyo katika ball possession, total shots, shots on goal na dangerous attacks Simba ilikuwa juu zaidi. Sijajua bado ni kipi kinaamua ubovu wa Simba, labda uchache wa mabao.
Kwa hisani ya Soccer24
Soccer24: Live Soccer Scores, Results. Online Football Results
View attachment 2543899
Kwenye hicho kilele cha wiki ya mwananchi, hao Yanga na Vipers walikuwa wanashiriki mashindano gani?Watasema vipers ni vibonde huku wanasahau nini kilitokea kwenye kilele cha wiki ya mwananchi
Ila ukumbuke tu bado hujajibu swali kwa usahihi. Kilelele cha Mwananchi ni Bonanza la kutambulisha wachezaji wapya na wale wa zamani, kwa ajili ya msimu mpya wa ligi.Kilele cha wananchi. Tena siku hiyo Harmonize alidondokea mgongo
Kumbuka Vipers inashiriki Ligi ya Mabingwa barani Afrika, haikutolewa bali iliitoa TP MazembeIla ukumbuke tu bado hujajibu swali kwa usahihi. Kilelele cha Mwananchi ni Bonanza la kutambulisha wachezaji wapya na wale wa zamani, kwa ajili ya msimu mpya wa ligi...
Hizi ni dalili za wazi kabisa hizi za kwenda kupokea kichapo chenu cha mbwa mwizi cha magoli 7 kwa 0, kutoka kwa Waarabu.Kabla ya Waarabu tuna mechi ya Horoya. Hatuangalii za mbali wakati ya karibu bado ipo