Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
Simba pasi 569 na zilizofika kwa usahihi ni 473, Vipers pasi 324 na zilizofika kwa usahihi ni 239, Yanga pasi 393 na zilizofika kwa usahihi ni 301, Bamako pasi 350 na zilizofika kwa usahihi ni 261.
Pasi za Simba zilizofika kwa usahihi ni nyingi kuliko pasi zote zilizopigwa na timu nyingine yoyote katika hizi mechi mbili. Vivyo hivyo katika ball possession, total shots, shots on goal na dangerous attacks Simba ilikuwa juu zaidi. Sijajua bado ni kipi kinaamua ubovu wa Simba, labda uchache wa mabao.
Kwa hisani ya Soccer24
Soccer24: Live Soccer Scores, Results. Online Football Results