LGE2024 Takwimu za uandikishaji Uchaguzi Serikali za Mitaa kulinganisha na idadi ya watu. Baadhi walioandikishwa wazidi idadi ya watu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cute Wife

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
1,906
Reaction score
5,000
Wakuu,

Mambo hayo, angalia mwenyewe baadhi ya maeneo idadi ya watu walioandikishwa wamezidi idadi ya watu waliohesabiwa tena pakubwa! Mchengerwa safari hii lazima badamu bachuruzike!

1729660016811.jpeg

Dar es Salaam
Sensa 3,599,244 Milioni– Waliojiandisha 3,483,970 Milioni

Mwanza
Sensa 1.95 Milioni – Waliojiandikisha 2.08 Milioni

Dodoma
Sensa 1.71 Milioni – Waliojiandisha 1.78 Milioni

Tabora
Sensa 1.65 Milioni - Waliojiandisha -1.43 Milioni

Kagera
Sensa 1.56 Milioni– Waliojiandisha 1.52 Milioni

Tanga
Sensa 1.46 Milioni Waliojiandisha 1.62 Milioni

Geita
Sensa 1.44 Milioni – Waliojiandikisha 1.33 Milioni

Mbeya
Sensa 1.35 Miliini– Waliojiandikisha 1.27 Milioni

Arusha
Sensa 1.3 Milioni – Waliojiandikisha 1.24 Milioni

Pwani
Sensa 1.2 Milioni – Waliojiandikisha 1.37 Milioni

Kigoma
Sensa 1.2 Milioni – Waliojiandikisha 1.17 Milioni

Mara
Sensa 1.17 Milioni – Waliojiandikisha 965,860

Kilimanjaro

Sensa 1.17 Milioni – Waliojiandikisha 1.09 Milioni

Shinyanga
Sensa 1.15 Milioni – Waliojiandikisha 1.1 Milioni

Ruvuma
Sensa 1.07 Milioni– Waliojiandikisha 989,241 Laki

Mtwara
Sensa 1 Milioni – Waliojiandikisha 862,374 Laki

Singida
Sensa 1 Milioni – Waliojiandisha 946,467 Laki

Simiyu
Sensa 996,633 Laki – Waliojiandikisha 815,056 Laki

Manyara
Sensa 991,317 Laki – Waliojiandisha 895,696 Laki

Rukwa
Sensa 744,778 Laki – Waliojiandisha 480,987 Laki

Lindi
Sensa 744,442 Laki – Waliojiandisha 648,076 Laki

Songwe
Sensa 716,510 Laki – Waliojiandisha 696,746 Laki

Iringa
Sensa 701,384 Laki – Waliojiandisha 704,634 Laki

Katavi
Sensa 553,284 Laki – Waliojiandisha 473,724 Laki

Njombe
Sensa 532,067 Laki – Waliojiandisha 457,317 Laki
 
IMG-20241023-WA0017.jpg

Nimeona kwenye magroup ya watsap data hii ambayo haijatolewa na NBS. wanaoisambaza wanaitumia kukejeli taarifa ya Mh. Waziri juu ya uandikishaji wa daftari la wakaazi.

Ingawa imekuwa culled down mtandaoni, lakini inakaribiana na ukweli wa data ambazo ziko publicly available.
Ukiangalia trend hapo ni kuwa kila mwaka isipokuwa mwaka 2009 walioandikishwa ni pungufu ya makadirio, Mwaka huu pia makadirio hayakufikiwa kila mahali.

Kuna discrepancy ndogo tu kwa mikoa ya Mwanza na Dodoma ambayo ni rahisi kueleweka kwa sababu haya ni majiji yanayokua yamkini kuna wahamiaji wengi kutoka nchi nzima ambao wako range ya umri huo.
Sioni hoja yoyote ya kupanikisha mtu hapo. Katibu wa Uenezi wa CCM ndg Amos Makala amesema jana kuwa Chama chake kimeridhishwa na uandikishaji. Twendeni kwenye uchaguzi acheni kulialia.
 
Sio vizuri kuongea wakati wa kula. Maliza kula kwanza ndio uongee. Kwa kuwa mpo mezani hamuwezi kuongelea ya wale walio sokoni wanahangaika. Mungu yupo tu itafika siku si mmejipa hakimiliki ya nchi
 
Dar es Salaam's 2024 population is now estimated at 8,161,230. 🤣🤣🤣

Ina maana hapo kwenye watu waliojiandikisha zaidi ya milioni 3 wapo above 18 halafu na waliogoma kujiandikisha wapo kibao tu au ndio watu waliokuwa wanajiandikisha zaidi ya mara 3 kwenye kituo kimoja kwa siku tofauti tofauti nao wamejumuishwa? Uhuni ulikuwa mwingi sana unakuta kata ina mitaa mitano mtu anazunguka kila mtaa kujiandikisha zaidi ya mara moja naye ameingizwa kwenye hizo takwimu. Yaani Watanzania wengi ni mazuzu sana.

Inatakiwa hata huu Uchaguzi wa serikali za mitaa watu wangetumia vitambulisho vya kupigia kura tu.
 
View attachment 3133165
Nimeona kwenye magroup ya watsap data hii ambayo haijatolewa na NBS. wanaoisambaza wanaitumia kukejeli taarifa ya Mh. Waziri juu ya uandikishaji wa daftari la wakaazi.

Ingawa imekuwa culled down mtandaoni, lakini inakaribiana na ukweli wa data ambazo ziko publicly available.
Ukiangalia trend hapo ni kuwa kila mwaka isipokuwa mwaka 2009 walioandikishwa ni pungufu ya makadirio, Mwaka huu pia makadirio hayakufikiwa kila mahali.
Kuna discrepancy ndogo tu kwa mikoa ya Mwanza na Dodoma ambayo ni rahisi kueleweka kwa sababu haya ni majiji yanayokua yamkini kuna wahamiaji wengi kutoka nchi nzima ambao wako range ya umri huo.
Sioni hoja yoyote ya kupanikisha mtu hapo. Katibu wa Uenezi wa CCM ndg Amos Makala amesema jana kuwa Chama chake kimeridhishwa na uandikishaji. Twendeni kwenye uchaguzi acheni kulialia.
Sasa hapa umeandika nini?...
Hivi wewe unafikiri humu JF kila mtu ni Lofa kama wewe...
 
View attachment 3133165
Nimeona kwenye magroup ya watsap data hii ambayo haijatolewa na NBS. wanaoisambaza wanaitumia kukejeli taarifa ya Mh. Waziri juu ya uandikishaji wa daftari la wakaazi.

Ingawa imekuwa culled down mtandaoni, lakini inakaribiana na ukweli wa data ambazo ziko publicly available.
Ukiangalia trend hapo ni kuwa kila mwaka isipokuwa mwaka 2009 walioandikishwa ni pungufu ya makadirio, Mwaka huu pia makadirio hayakufikiwa kila mahali.
Kuna discrepancy ndogo tu kwa mikoa ya Mwanza na Dodoma ambayo ni rahisi kueleweka kwa sababu haya ni majiji yanayokua yamkini kuna wahamiaji wengi kutoka nchi nzima ambao wako range ya umri huo.
Sioni hoja yoyote ya kupanikisha mtu hapo. Katibu wa Uenezi wa CCM ndg Amos Makala amesema jana kuwa Chama chake kimeridhishwa na uandikishaji. Twendeni kwenye uchaguzi acheni kulialia.
Hao wahamiaji wanatoka Sehemu gani kwenda Sehemu gani kwanini wakihama Hiyo sehemu wanapotoka Kusionekane Upungufu wa watu..

Watu wengi sana hawajajiandikisha (Ninaweza nikaamni hivyo)..

Then imekuaje Idadi imekuwa Kubwa..

Tuhojioane kwa facts Wala sio mpango wangu kupinga jitihada za serikali ila Kuuliza wakati mwingine kupata Reasoning sio ujinga..

Mkoa wa Mwanza; Sensa ya Watu na Makazi 2022. Waliokuwa na miaka 16 na kuendelea ni 1.95 milioni

Mkoa wa Mwanza; Waliojiandikisha kupiga kura uchaguzi Serikali za Mitaa mwaka 2024 ni watu 2.08 milioni

Ongezeko limekuwa Kubwa Kuliko idadi husika Means watu zaidi ya laki kadhaa na ushee wamehamia vipi huko walikohama mbona hakuna upungufu??

Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi 2022 Jumla ya watu Tanzania ni 61,741,120. Ukitoa jumla ya watu wote na idadi ya watoto unabaki na watu wazima 30,700,956.

Watu wanaostahili kupiga kura kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi 2022 ni 26,597,464. Waliojiandikisha kupiga kura ni watu 31,282,331

Kwamba OR-TAMISEMI wameandikisha wapiga kura katika daftari la mkaazi kupiga kura uchaguzi Serikali za Mitaa zaidi ya idadi ya watu wazima katika SENSA?

Ofisi ya Rais - TAMISEMI inasema watu 4,684,867 wamepanda umri kutoka kwenye watoto ndani ya mwaka mmoja na ushee?

Ofisi ya Rais - TAMISEMI wanasema Dar es Salaam wamejiandikisha wapiga kura 3,483,970.

Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 inaonesha Dar es Salaam ina jumla ya wakazi 5,383,728. TAMISEMI wanasema zaidi ya nusu wamejiandikisha kupiga kura.
 
Wakuu,

Mambo hayo, angalia mwenyewe baadhi ya maeneo idadi ya watu walioandikishwa wamezidi idadi ya watu waliohesabiwa tena pakubwa! Mchengerwa safari hii lazima badamu bachuruzike!

View attachment 3133159
Nikiwaambieni samia amelaanika mnasema mimi sina akili ....tambueni sibahatishi kwa ninacho sema ...tazama uongo wa watu kujiandikisha vituo vilikuwa vyeupe ila wanasema mamilioni ya watu wamejiandikisha ? Mambo kama haya angefanya JPM nisinge thubutu kumwita mpumbavu kwa sababu ninazo akili nyingi ila kwa kufanya na huyu tuliye naye sasa ni upumbavu ulio tukuka ...

Kwanini jpm nisinge mwita mpumbavu .....jpm alikuwa mzalendo yote aliyo fanya iwe ni kuua au kuiba kura au kudhibiti upinzani aliyafanya kwa lengo la kujenga nchi na kwa kuwajali wananchi na kwa kuwaletea maendeleo wananchi ...dhamiri na matendo ya JPM kwa wananchi vilimtakasa na kila kitu alicho fanya kwa sababu akufanya kwa ajili yake na familia yake wala haku fanya kwa ajili ya wahuni wa taifa bali alifanya yote kwa ajili ya wananchi wema....

Sasa tujiulize kwa huyu Mjalaana tuliye naye ambaye anayo yafanya yote hakuna analofanya hata moja kwa kujali nchi wala wananchi wala afanyi kwa kujali uzalendo.....anafanya kwa ajili yakujinufaisha yeye na wahuni wachache dhidi ya wananchi ....KIONGOZI YOYOTE ALIYE MADARAKANI DHIDI YA WANANCHI NI ADUI NO 1 WA TAIFA
 
Hao wahamiaji wanatoka Sehemu gani kwenda Sehemu gani kwanini wakihama Hiyo sehemu wanapotoka Kusionekane Upungufu wa watu..

Watu wengi sana hawajajiandikisha (Ninaweza nikaamni hivyo)..

Then imekuaje Idadi imekuwa Kubwa..

Tuhojioane kwa facts Wala sio mpango wangu kupinga jitihada za serikali ila Kuuliza wakati mwingine kupata Reasoning sio ujinga..

Mkoa wa Mwanza; Sensa ya Watu na Makazi 2022. Waliokuwa na miaka 16 na kuendelea ni 1.95 milioni

Mkoa wa Mwanza; Waliojiandikisha kupiga kura uchaguzi Serikali za Mitaa mwaka 2024 ni watu 2.08 milioni

Ongezeko limekuwa Kubwa Kuliko idadi husika Means watu zaidi ya laki kadhaa na ushee wamehamia vipi huko walikohama mbona hakuna upungufu??

Kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi 2022 Jumla ya watu Tanzania ni 61,741,120. Ukitoa jumla ya watu wote na idadi ya watoto unabaki na watu wazima 30,700,956.

Watu wanaostahili kupiga kura kwa mujibu wa sensa ya watu na makazi 2022 ni 26,597,464. Waliojiandikisha kupiga kura ni watu 31,282,331

Kwamba OR-TAMISEMI wameandikisha wapiga kura katika daftari la mkaazi kupiga kura uchaguzi Serikali za Mitaa zaidi ya idadi ya watu wazima katika SENSA?

Ofisi ya Rais - TAMISEMI inasema watu 4,684,867 wamepanda umri kutoka kwenye watoto ndani ya mwaka mmoja na ushee?

Ofisi ya Rais - TAMISEMI wanasema Dar es Salaam wamejiandikisha wapiga kura 3,483,970.

Sensa ya watu na makazi ya mwaka 2022 inaonesha Dar es Salaam ina jumla ya wakazi 5,383,728. TAMISEMI wanasema zaidi ya nusu wamejiandikisha kupiga kura.
Wanasiasa wanaharibu sana na kwa mtindo huu nchi kuendelea itakuwa ngumu takwimu ni za kupikwa hizo.
 
Back
Top Bottom