LGE2024 Takwimu za uandikishaji Uchaguzi Serikali za Mitaa kulinganisha na idadi ya watu. Baadhi walioandikishwa wazidi idadi ya watu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hapo shida ipo wapi Wakuu?

Mtu mwenye miaka 16 mwaka 2022 wakati wa sensa leo ana 18 hivyo kuwa na sifa ya kuandikishwa daftari la mkazi na la mpiga kura.

Ikumbukwe hawa ni wanadamu wanaweza kuhama eneo moja kwenda lingine pia hivyo idadi kupungua au kuongezeka sio kitu chakushangaza.

Pia modality ya uandikishaji watu wakati wa sensa ni tofauti na uandikishaji wapiga kura. Sensa walikuwa wanatembelea watu kwenye kila makazi hivyo wengi walihesabiwa. Sasa kura ni watu wanaenda kujiandikisha kwenye vituo hivyo baadhi wameamua kutokujiandikisha pia.

Maadamu hawa ni wanadamu ambao wanaongezeka umri, wanafariki, wanahama na wanauwezo wa kutokujiandikisha basi sishangai takwimu ya idadi kupishana, wala mtu hapaswi kushangaa huo mpishano.
Huku wanakohama mbona watu hawapungui?
 
Wakuu,

Mambo hayo, angalia mwenyewe baadhi ya maeneo idadi ya watu walioandikishwa wamezidi idadi ya watu waliohesabiwa tena pakubwa! Mchengerwa safari hii lazima badamu bachuruzike!

Dar es Salaam
Sensa 3,599,244 Milioni– Waliojiandisha 3,483,970 Milioni

Mwanza
Sensa 1.95 Milioni – Waliojiandikisha 2.08 Milioni

Dodoma
Sensa 1.71 Milioni – Waliojiandisha 1.78 Milioni

Tabora
Sensa 1.65 Milioni - Waliojiandisha -1.43 Milioni

Kagera
Sensa 1.56 Milioni– Waliojiandisha 1.52 Milioni

Tanga
Sensa 1.46 Milioni Waliojiandisha 1.62 Milioni

Geita
Sensa 1.44 Milioni – Waliojiandikisha 1.33 Milioni

Mbeya
Sensa 1.35 Miliini– Waliojiandikisha 1.27 Milioni

Arusha
Sensa 1.3 Milioni – Waliojiandikisha 1.24 Milioni

Pwani
Sensa 1.2 Milioni – Waliojiandikisha 1.37 Milioni

Kigoma
Sensa 1.2 Milioni – Waliojiandikisha 1.17 Milioni

Mara
Sensa 1.17 Milioni – Waliojiandikisha 965,860

Kilimanjaro

Sensa 1.17 Milioni – Waliojiandikisha 1.09 Milioni

Shinyanga
Sensa 1.15 Milioni – Waliojiandikisha 1.1 Milioni

Ruvuma
Sensa 1.07 Milioni– Waliojiandikisha 989,241 Laki

Mtwara
Sensa 1 Milioni – Waliojiandikisha 862,374 Laki

Singida
Sensa 1 Milioni – Waliojiandisha 946,467 Laki

Simiyu
Sensa 996,633 Laki – Waliojiandikisha 815,056 Laki

Manyara
Sensa 991,317 Laki – Waliojiandisha 895,696 Laki

Rukwa
Sensa 744,778 Laki – Waliojiandisha 480,987 Laki

Lindi
Sensa 744,442 Laki – Waliojiandisha 648,076 Laki

Songwe
Sensa 716,510 Laki – Waliojiandisha 696,746 Laki

Iringa
Sensa 701,384 Laki – Waliojiandisha 704,634 Laki

Katavi
Sensa 553,284 Laki – Waliojiandisha 473,724 Laki

Njombe
Sensa 532,067 Laki – Waliojiandisha 457,317 Laki
Hapa yaliandikishwa mpaka majini na mashetani
 
Kwa sababu ndiyo wanajitukuza kuwa chama kikuu cha upinzani ...uelewi nini hapo..tatizo ni hiyo taito wanajo jitukuza naya kuwa wao ni chama kikuu cha upinzani huku hawana AKILI YOYOTE
Sio kwa vile hao (CHADEMA) ndio “waliosherehekea” kifo cha Magufuli? Una hasira sana nao?
 
Waachiwe wamalizie kupiga kura wenyewe na baadaye watoe ripoti kuonesha 100% wamemejitokeza kupiga kura.
 
Wanahamia kutoka nje ya nchi?
Mwingiliono wa kimikoa na wilaya wanahams yoks mkos huu au wilaya hii kwenda mkoa mwingine na wilaya nyinhine.kwani hioni mabasi kila siku mfano unakuta mabasi 40 yanatoka Dar yanaenda arusha na pia kuna mabasi mengine 40 yanatoka Arusha kuja Dar unashangaa nini

Nenda standing ya basi uangalie mabasi yanayoondoka na yanayoingia kila siku
 
Kwa hiyo watu wamehamia zaidi Tanga na Mwanza??
 
Sio kwa vile hao (CHADEMA) ndio “waliosherehekea” kifo cha Magufuli? Una hasira sana nao?
Kama walisherekea basi mbona sasa wanalia na kusaga meno
..tena nawatabilia kuzidi kulia hadi machozi ya damu 😁😁😁
 
Wakuu,

Mambo hayo, angalia mwenyewe baadhi ya maeneo idadi ya watu walioandikishwa wamezidi idadi ya watu waliohesabiwa tena pakubwa! Mchengerwa safari hii lazima badamu bachuruzike!

Dar es Salaam
Sensa 3,599,244 Milioni– Waliojiandisha 3,483,970 Milioni

Mwanza
Sensa 1.95 Milioni – Waliojiandikisha 2.08 Milioni

Dodoma
Sensa 1.71 Milioni – Waliojiandisha 1.78 Milioni

Tabora
Sensa 1.65 Milioni - Waliojiandisha -1.43 Milioni

Kagera
Sensa 1.56 Milioni– Waliojiandisha 1.52 Milioni

Tanga
Sensa 1.46 Milioni Waliojiandisha 1.62 Milioni

Geita
Sensa 1.44 Milioni – Waliojiandikisha 1.33 Milioni

Mbeya
Sensa 1.35 Miliini– Waliojiandikisha 1.27 Milioni

Arusha
Sensa 1.3 Milioni – Waliojiandikisha 1.24 Milioni

Pwani
Sensa 1.2 Milioni – Waliojiandikisha 1.37 Milioni

Kigoma
Sensa 1.2 Milioni – Waliojiandikisha 1.17 Milioni

Mara
Sensa 1.17 Milioni – Waliojiandikisha 965,860

Kilimanjaro

Sensa 1.17 Milioni – Waliojiandikisha 1.09 Milioni

Shinyanga
Sensa 1.15 Milioni – Waliojiandikisha 1.1 Milioni

Ruvuma
Sensa 1.07 Milioni– Waliojiandikisha 989,241 Laki

Mtwara
Sensa 1 Milioni – Waliojiandikisha 862,374 Laki

Singida
Sensa 1 Milioni – Waliojiandisha 946,467 Laki

Simiyu
Sensa 996,633 Laki – Waliojiandikisha 815,056 Laki

Manyara
Sensa 991,317 Laki – Waliojiandisha 895,696 Laki

Rukwa
Sensa 744,778 Laki – Waliojiandisha 480,987 Laki

Lindi
Sensa 744,442 Laki – Waliojiandisha 648,076 Laki

Songwe
Sensa 716,510 Laki – Waliojiandisha 696,746 Laki

Iringa
Sensa 701,384 Laki – Waliojiandisha 704,634 Laki

Katavi
Sensa 553,284 Laki – Waliojiandisha 473,724 Laki

Njombe
Sensa 532,067 Laki – Waliojiandisha 457,317 Laki
hata kama takwimu hizi si halisi lakini zinaakisi hali halisi ya hamasa ya wananchi inavyoongezeka katika kushiriki mazoezi mbalimbali ya kitaifa hususani hili la uchaguzi wa Serikali za mitaa..

vijanaa wazalendo wa shule na mitaani wenye kuanzia miaka18, ndiyo hasa chimbuko la hamasa na ongezeko la washiriki katika mambo haya..

Taarifa ya mwisho itakapotoka baada ya majumuisho ya waliojiandikisha yatakapokamilika, hususani maeneo yale ambayo zoezi la kujiandikisha linaendelea ni dhahiri, waliojiandikisha kwaajili ya uchaguzi wa Serikali za mitaa Nov27, 2024, wanaweza kua ama pungufu kidogo au zaidi ya milioni 40.🐒

Mungu ibariki Tanzania
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Kama walisherekea basi mbona sasa wanalia na kusaga meno
..tena nawatabilia kuzidi kulia hadi machozi ya damu 😁😁😁
Sawa. Hiyo ndiyo kero yako kubwa na Mbowe na CHADEMA. Wangeenda Chato kumuomboleza Magufuli nina hakika usingekuwa ukiwananga kila wakati.
 
Sasa wapumbavu waende chato kuna nini cha maana 🙄🙄🙄🙄 mbona samia kaenda sana tu
 
Tetetesi ni kua waliambiwa kila siku waandike majina hewa 50 sijui lengo ninini
 
Inchi za africa huwa wanatumia vyombo vya habari kuwapumbaza wanainchi, ukiona waziri yoyote yule ametoka mbele ya kamera na kuzungumza jambo lolote lile inatakiwa ujue kuwa ukweli ni asilimia 2 tu ! Vingine vyote ni propaganda.
 
Wakuu,

Mambo hayo, angalia mwenyewe baadhi ya maeneo idadi ya watu walioandikishwa wamezidi idadi ya watu waliohesabiwa tena pakubwa! Mchengerwa safari hii lazima badamu bachuruzike!

Dar es Salaam
Sensa 3,599,244 Milioni– Waliojiandisha 3,483,970 Milioni

Mwanza
Sensa 1.95 Milioni – Waliojiandikisha 2.08 Milioni

Dodoma
Sensa 1.71 Milioni – Waliojiandisha 1.78 Milioni

Tabora
Sensa 1.65 Milioni - Waliojiandisha -1.43 Milioni

Kagera
Sensa 1.56 Milioni– Waliojiandisha 1.52 Milioni

Tanga
Sensa 1.46 Milioni Waliojiandisha 1.62 Milioni

Geita
Sensa 1.44 Milioni – Waliojiandikisha 1.33 Milioni

Mbeya
Sensa 1.35 Miliini– Waliojiandikisha 1.27 Milioni

Arusha
Sensa 1.3 Milioni – Waliojiandikisha 1.24 Milioni

Pwani
Sensa 1.2 Milioni – Waliojiandikisha 1.37 Milioni

Kigoma
Sensa 1.2 Milioni – Waliojiandikisha 1.17 Milioni

Mara
Sensa 1.17 Milioni – Waliojiandikisha 965,860

Kilimanjaro

Sensa 1.17 Milioni – Waliojiandikisha 1.09 Milioni

Shinyanga
Sensa 1.15 Milioni – Waliojiandikisha 1.1 Milioni

Ruvuma
Sensa 1.07 Milioni– Waliojiandikisha 989,241 Laki

Mtwara
Sensa 1 Milioni – Waliojiandikisha 862,374 Laki

Singida
Sensa 1 Milioni – Waliojiandisha 946,467 Laki

Simiyu
Sensa 996,633 Laki – Waliojiandikisha 815,056 Laki

Manyara
Sensa 991,317 Laki – Waliojiandisha 895,696 Laki

Rukwa
Sensa 744,778 Laki – Waliojiandisha 480,987 Laki

Lindi
Sensa 744,442 Laki – Waliojiandisha 648,076 Laki

Songwe
Sensa 716,510 Laki – Waliojiandisha 696,746 Laki

Iringa
Sensa 701,384 Laki – Waliojiandisha 704,634 Laki

Katavi
Sensa 553,284 Laki – Waliojiandisha 473,724 Laki

Njombe
Sensa 532,067 Laki – Waliojiandisha 457,317 Laki
Watanzania hatujulikani tunatakaje. Matokeo ya Sensa yalipotoka, tulisema yamepikwa kwani watu wengi hawajahesabiwa, sasa hivi tunalalamika tena kuna maeneo walioandikishwa ni wengi kuliko idadi ya wenye sifa.

Simple mathematics pia zimetushinda, tukiona waliojiandikisha ni 112.1% maana yake ni kuwa waliojiandikisha ni wengi kuliko makadirio so hatupaswi kushangaa.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Waliokuwa na miaka 80 mwaka 2022 hawajafa??
Wangapi njoo na takwimu .Kwani kwa Tanzania wenye miaka 80 na kuendelea wako wangapi?Na waliokuwa na miaka 16 sasa wana miaka 18 ni wangapi?It is just commonsense.Takwimu za sensa zipo wazi.Ni nadra sana watanzania kufika miaka 80.
 
Back
Top Bottom