Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huku wanakohama mbona watu hawapungui?Hapo shida ipo wapi Wakuu?
Mtu mwenye miaka 16 mwaka 2022 wakati wa sensa leo ana 18 hivyo kuwa na sifa ya kuandikishwa daftari la mkazi na la mpiga kura.
Ikumbukwe hawa ni wanadamu wanaweza kuhama eneo moja kwenda lingine pia hivyo idadi kupungua au kuongezeka sio kitu chakushangaza.
Pia modality ya uandikishaji watu wakati wa sensa ni tofauti na uandikishaji wapiga kura. Sensa walikuwa wanatembelea watu kwenye kila makazi hivyo wengi walihesabiwa. Sasa kura ni watu wanaenda kujiandikisha kwenye vituo hivyo baadhi wameamua kutokujiandikisha pia.
Maadamu hawa ni wanadamu ambao wanaongezeka umri, wanafariki, wanahama na wanauwezo wa kutokujiandikisha basi sishangai takwimu ya idadi kupishana, wala mtu hapaswi kushangaa huo mpishano.
Hapa yaliandikishwa mpaka majini na mashetaniWakuu,
Mambo hayo, angalia mwenyewe baadhi ya maeneo idadi ya watu walioandikishwa wamezidi idadi ya watu waliohesabiwa tena pakubwa! Mchengerwa safari hii lazima badamu bachuruzike!
Dar es Salaam
Sensa 3,599,244 Milioni– Waliojiandisha 3,483,970 Milioni
Mwanza
Sensa 1.95 Milioni – Waliojiandikisha 2.08 Milioni
Dodoma
Sensa 1.71 Milioni – Waliojiandisha 1.78 Milioni
Tabora
Sensa 1.65 Milioni - Waliojiandisha -1.43 Milioni
Kagera
Sensa 1.56 Milioni– Waliojiandisha 1.52 Milioni
Tanga
Sensa 1.46 Milioni Waliojiandisha 1.62 Milioni
Geita
Sensa 1.44 Milioni – Waliojiandikisha 1.33 Milioni
Mbeya
Sensa 1.35 Miliini– Waliojiandikisha 1.27 Milioni
Arusha
Sensa 1.3 Milioni – Waliojiandikisha 1.24 Milioni
Pwani
Sensa 1.2 Milioni – Waliojiandikisha 1.37 Milioni
Kigoma
Sensa 1.2 Milioni – Waliojiandikisha 1.17 Milioni
Mara
Sensa 1.17 Milioni – Waliojiandikisha 965,860
Kilimanjaro
Sensa 1.17 Milioni – Waliojiandikisha 1.09 Milioni
Shinyanga
Sensa 1.15 Milioni – Waliojiandikisha 1.1 Milioni
Ruvuma
Sensa 1.07 Milioni– Waliojiandikisha 989,241 Laki
Mtwara
Sensa 1 Milioni – Waliojiandikisha 862,374 Laki
Singida
Sensa 1 Milioni – Waliojiandisha 946,467 Laki
Simiyu
Sensa 996,633 Laki – Waliojiandikisha 815,056 Laki
Manyara
Sensa 991,317 Laki – Waliojiandisha 895,696 Laki
Rukwa
Sensa 744,778 Laki – Waliojiandisha 480,987 Laki
Lindi
Sensa 744,442 Laki – Waliojiandisha 648,076 Laki
Songwe
Sensa 716,510 Laki – Waliojiandisha 696,746 Laki
Iringa
Sensa 701,384 Laki – Waliojiandisha 704,634 Laki
Katavi
Sensa 553,284 Laki – Waliojiandisha 473,724 Laki
Njombe
Sensa 532,067 Laki – Waliojiandisha 457,317 Laki
Wengine wanahamia toka kwingineHuku wanakohama mbona watu hawapungui?
Sio kwa vile hao (CHADEMA) ndio “waliosherehekea” kifo cha Magufuli? Una hasira sana nao?Kwa sababu ndiyo wanajitukuza kuwa chama kikuu cha upinzani ...uelewi nini hapo..tatizo ni hiyo taito wanajo jitukuza naya kuwa wao ni chama kikuu cha upinzani huku hawana AKILI YOYOTE
Wanahamia kutoka nje ya nchi?Wengine wanahamia toka kwingine
Mwingiliono wa kimikoa na wilaya wanahams yoks mkos huu au wilaya hii kwenda mkoa mwingine na wilaya nyinhine.kwani hioni mabasi kila siku mfano unakuta mabasi 40 yanatoka Dar yanaenda arusha na pia kuna mabasi mengine 40 yanatoka Arusha kuja Dar unashangaa niniWanahamia kutoka nje ya nchi?
Kwa hiyo watu wamehamia zaidi Tanga na Mwanza??Mwingiliono wa kimikoa na wilaya wanahams yoks mkos huu au wilaya hii kwenda mkoa mwingine na wilaya nyinhine.kwani hioni mabasi kila siku mfano unakuta mabasi 40 yanatoka Dar yanaenda arusha na pia kuna mabasi mengine 40 yanatoka Arusha kuja Dar unashangaa nini
Nenda standing ya basi uangalie mabasi yanayoondoka na yanayoingia kila siku
NdioKwa hiyo watu wamehamia zaidi Tanga na Mwanza??
Kama walisherekea basi mbona sasa wanalia na kusaga menoSio kwa vile hao (CHADEMA) ndio “waliosherehekea” kifo cha Magufuli? Una hasira sana nao?
hata kama takwimu hizi si halisi lakini zinaakisi hali halisi ya hamasa ya wananchi inavyoongezeka katika kushiriki mazoezi mbalimbali ya kitaifa hususani hili la uchaguzi wa Serikali za mitaa..Wakuu,
Mambo hayo, angalia mwenyewe baadhi ya maeneo idadi ya watu walioandikishwa wamezidi idadi ya watu waliohesabiwa tena pakubwa! Mchengerwa safari hii lazima badamu bachuruzike!
Dar es Salaam
Sensa 3,599,244 Milioni– Waliojiandisha 3,483,970 Milioni
Mwanza
Sensa 1.95 Milioni – Waliojiandikisha 2.08 Milioni
Dodoma
Sensa 1.71 Milioni – Waliojiandisha 1.78 Milioni
Tabora
Sensa 1.65 Milioni - Waliojiandisha -1.43 Milioni
Kagera
Sensa 1.56 Milioni– Waliojiandisha 1.52 Milioni
Tanga
Sensa 1.46 Milioni Waliojiandisha 1.62 Milioni
Geita
Sensa 1.44 Milioni – Waliojiandikisha 1.33 Milioni
Mbeya
Sensa 1.35 Miliini– Waliojiandikisha 1.27 Milioni
Arusha
Sensa 1.3 Milioni – Waliojiandikisha 1.24 Milioni
Pwani
Sensa 1.2 Milioni – Waliojiandikisha 1.37 Milioni
Kigoma
Sensa 1.2 Milioni – Waliojiandikisha 1.17 Milioni
Mara
Sensa 1.17 Milioni – Waliojiandikisha 965,860
Kilimanjaro
Sensa 1.17 Milioni – Waliojiandikisha 1.09 Milioni
Shinyanga
Sensa 1.15 Milioni – Waliojiandikisha 1.1 Milioni
Ruvuma
Sensa 1.07 Milioni– Waliojiandikisha 989,241 Laki
Mtwara
Sensa 1 Milioni – Waliojiandikisha 862,374 Laki
Singida
Sensa 1 Milioni – Waliojiandisha 946,467 Laki
Simiyu
Sensa 996,633 Laki – Waliojiandikisha 815,056 Laki
Manyara
Sensa 991,317 Laki – Waliojiandisha 895,696 Laki
Rukwa
Sensa 744,778 Laki – Waliojiandisha 480,987 Laki
Lindi
Sensa 744,442 Laki – Waliojiandisha 648,076 Laki
Songwe
Sensa 716,510 Laki – Waliojiandisha 696,746 Laki
Iringa
Sensa 701,384 Laki – Waliojiandisha 704,634 Laki
Katavi
Sensa 553,284 Laki – Waliojiandisha 473,724 Laki
Njombe
Sensa 532,067 Laki – Waliojiandisha 457,317 Laki
Sawa. Hiyo ndiyo kero yako kubwa na Mbowe na CHADEMA. Wangeenda Chato kumuomboleza Magufuli nina hakika usingekuwa ukiwananga kila wakati.Kama walisherekea basi mbona sasa wanalia na kusaga meno
..tena nawatabilia kuzidi kulia hadi machozi ya damu 😁😁😁
Sasa wapumbavu waende chato kuna nini cha maana 🙄🙄🙄🙄 mbona samia kaenda sana tuSawa. Hiyo ndiyo kero yako kubwa na Mbowe na CHADEMA. Wangeenda Chato kumuomboleza Magufuli nina hakika usingekuwa ukiwananga kila wakati.
Watanzania hatujulikani tunatakaje. Matokeo ya Sensa yalipotoka, tulisema yamepikwa kwani watu wengi hawajahesabiwa, sasa hivi tunalalamika tena kuna maeneo walioandikishwa ni wengi kuliko idadi ya wenye sifa.Wakuu,
Mambo hayo, angalia mwenyewe baadhi ya maeneo idadi ya watu walioandikishwa wamezidi idadi ya watu waliohesabiwa tena pakubwa! Mchengerwa safari hii lazima badamu bachuruzike!
Dar es Salaam
Sensa 3,599,244 Milioni– Waliojiandisha 3,483,970 Milioni
Mwanza
Sensa 1.95 Milioni – Waliojiandikisha 2.08 Milioni
Dodoma
Sensa 1.71 Milioni – Waliojiandisha 1.78 Milioni
Tabora
Sensa 1.65 Milioni - Waliojiandisha -1.43 Milioni
Kagera
Sensa 1.56 Milioni– Waliojiandisha 1.52 Milioni
Tanga
Sensa 1.46 Milioni Waliojiandisha 1.62 Milioni
Geita
Sensa 1.44 Milioni – Waliojiandikisha 1.33 Milioni
Mbeya
Sensa 1.35 Miliini– Waliojiandikisha 1.27 Milioni
Arusha
Sensa 1.3 Milioni – Waliojiandikisha 1.24 Milioni
Pwani
Sensa 1.2 Milioni – Waliojiandikisha 1.37 Milioni
Kigoma
Sensa 1.2 Milioni – Waliojiandikisha 1.17 Milioni
Mara
Sensa 1.17 Milioni – Waliojiandikisha 965,860
Kilimanjaro
Sensa 1.17 Milioni – Waliojiandikisha 1.09 Milioni
Shinyanga
Sensa 1.15 Milioni – Waliojiandikisha 1.1 Milioni
Ruvuma
Sensa 1.07 Milioni– Waliojiandikisha 989,241 Laki
Mtwara
Sensa 1 Milioni – Waliojiandikisha 862,374 Laki
Singida
Sensa 1 Milioni – Waliojiandisha 946,467 Laki
Simiyu
Sensa 996,633 Laki – Waliojiandikisha 815,056 Laki
Manyara
Sensa 991,317 Laki – Waliojiandisha 895,696 Laki
Rukwa
Sensa 744,778 Laki – Waliojiandisha 480,987 Laki
Lindi
Sensa 744,442 Laki – Waliojiandisha 648,076 Laki
Songwe
Sensa 716,510 Laki – Waliojiandisha 696,746 Laki
Iringa
Sensa 701,384 Laki – Waliojiandisha 704,634 Laki
Katavi
Sensa 553,284 Laki – Waliojiandisha 473,724 Laki
Njombe
Sensa 532,067 Laki – Waliojiandisha 457,317 Laki
Wangapi njoo na takwimu .Kwani kwa Tanzania wenye miaka 80 na kuendelea wako wangapi?Na waliokuwa na miaka 16 sasa wana miaka 18 ni wangapi?It is just commonsense.Takwimu za sensa zipo wazi.Ni nadra sana watanzania kufika miaka 80.Waliokuwa na miaka 80 mwaka 2022 hawajafa??