DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
Nchii ambayo haina Transparency na Accountability Kuendelea Ni Vigumu sana..Wanasiasa wanaharibu sana na kwa mtindo huu nchi kuendelea itakuwa ngumu takwimu ni za kupikwa hizo.
Lazima Tuwe Accountable kwa Matatizo tunayosababisha..
Kama Watu hawakujiandikisha wa Kujitosheleza Ilipaswa Waziri awe accountable na sio Kutengeneza Data ili kumuonyesha Rais kwamba Alifanya kazi
Wanamdanganya Sana Rais

