LGE2024 Takwimu za uandikishaji Uchaguzi Serikali za Mitaa kulinganisha na idadi ya watu. Baadhi walioandikishwa wazidi idadi ya watu

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Wanasiasa wanaharibu sana na kwa mtindo huu nchi kuendelea itakuwa ngumu takwimu ni za kupikwa hizo.
Nchii ambayo haina Transparency na Accountability Kuendelea Ni Vigumu sana..
Lazima Tuwe Accountable kwa Matatizo tunayosababisha..

Kama Watu hawakujiandikisha wa Kujitosheleza Ilipaswa Waziri awe accountable na sio Kutengeneza Data ili kumuonyesha Rais kwamba Alifanya kazi

Wanamdanganya Sana Rais
 
Yule DC wa maporini alisema kabisa uchaguzi huu kazi walishamaliza....Msitufanye wajingat...Kwenye vituo kulikuwa na watu wachache sana waliojiandikisha hadi walikuwa wanatuma meseji nne nne watu waende kujiandikisha lakini cha kushangaza mchengerwa (Mkwe) anakuja na takwimu za DC wa Maporini kwamba 98% wamejiandikisha huku wengi ni FOJI FOJI NA NGAI.
 
Kwanini jpm nisinge mwita mpumbavu .....jpm alikuwa mzalendo yote aliyo fanya iwe ni kuua au kuiba kura au kudhibiti upinzani aliyafanya kwa lengo la kujenga nchi na kwa kuwajali wananchi na kwa kuwaletea maendeleo wananchi
Kuua raia wako, kuiba kura au kudhibiti upinzani kunaletaje maendeleo? Hembu fafanua tuelewe.
 
Njoo ujibu hii hoja Joseph Ludovick acha kutuletea blaah blaah, CCM wanafanya ujinga mwingi sana kwenye mambo ambayo ni ya msingi kwenye maisha ya watanzania ambao ni wengi.

Huwa inashangaza sana na kuleta ukakasi kwanini wanakuwa wanadanganya kwenye mambo ambayo ni muhimu kwa mustakabali wa maendeleo ya nchi.
Joseph Ludovick tunataka ufafanuzi wa hoja iliyowekwa na DR Mambo Jambo
 
Nawashangaa sana

Ova
Nikiwaambia MBOWE NA CHADEMA WANAO JIHITA CHAMA KIKUU CHA UPINZANI NI WAPUMBAVU WATU WANADHANI MIMI NAPENDA KUTUKANA ...kuiondoa ccm madarakani ni rahisi sana kama ukiwa na watu sahihi kwenye chama chenu ...kwa sasa vyama vya upinzani vimewapa vyeo watu dhaifu sana kiakili ...mfano ili jambo la utekaji liliweza kutatuliwa kwa kauli moja tu ya Akili ambayo hadi sasa sijaisikia kutoka chadema. Chadema hawana akili ...bora kukosa elimu ila usikose akili ni laana hiyo ....hata sasa ukitazama tatizo la samia ni kukosa akili kama ninavyo sema siku zote wanawake wana akili ndogo sana aijalishi ni mama yako au la.
 
Vipi kuhusu Zitto na ACT au Lipumba na CUF??
 
Nawashangaa sana

Ova
SISIEMU walishasema wanambinu karibu 100 za ushindi ,2015 walisema walishatumia mbili tu zimebaki 98 na hivyo hawawezi kuondolewa kwenye sanduku la kura.

Hata DC aliyeondolewa yule aliyesema kwamba kuna vitu walifanya maporini ,alisema kwamba kwenye uchaguzi huu wa Nov kazi walishamaliza 😀 😀 😀 😀 .
 
Kuua raia wako, kuiba kura au kudhibiti upinzani kunaletaje maendeleo? Hembu fafanua tuelewe.
Jibu je ni SIASA KWA AJILI YA MAENDELEO AU NI MAENDELEO KWA AJILI YA SIASA ? pia siasa zinaweza kutumiwa na maadui kukwamisha maendeleo iwe ni siasa za upinzani au siasa za chama tawala ....wapinzani watanzania ni wapuuzi kipindi cha jpm walitumika kikamilifu kupinga maendeleo na hiyo ndiyo imewafanya watz kuwapuuza sasa maana samia anafanya kinyume na maendeleo na wao walimsifu na kumponda jpm ...siasa inaweza kuwa dhidi ya maendeleo siasa inaweza kuwa dhidi ya haki pia siasa inaweza kuwa dhidi ya demokrasia pia... Hayo ni matokeo ya (SIASA KUWA VIRUS) yaani (SIASA UCHWARA)na hiki ndicho kilicho mfanya jpm kuwadharau upinzani ....tanzania kwa sasa....CCM NA UPINZANI WOTE NI VIRUS.

HUU UPUUZI WA SIASA VIRUS NDIYO ALIOUCHUKIA JPM NA KUJIKITA KULETEA NCHI MAENDELEO ZAIDI ..KWA SABABU KAMWE SIASA VIRUS HAZIPO KULETEA NCHI NA WANANCHI MAENDELEO.
 
Rais mwenyewe usikute ndio ametoa maagizo. Wananchi ndio wanadanganywa
 
Maadui gani waliokuwa wanataka kukwamisha maendeleo ya Tanzania na kwa sababu zipi?

Wapinzani walipingaje maendeleo wakati wa JPM? Mtu akisema hataki umeme wa maji bali anataka wa gesi kama Zitto au Nape anakuwa amepinga maendeleo? Mtu akisema hataki serikali inununue ndege badala yake ijenge barabara za lami vijijini anakuwa amepinga maendeleo? Mtu akisema hataki SGR kwanza badala yake anataka maji safi na hospital zenye madaktari kwanza anakuwa amepinga maendeleo? Mtu akisema mkivunja mikataba ambayo serikali ilisaini mtashitakiwa anakuwa anapinga maendeleo?

Kama Wapinzani wanadharauliwa na raia kwa kumpinga JPM kwa nini suala la Tume huru ya uchaguzi bado ni shida? Kwa nini uandikishaji wa serikali za mitaa umejaa sarakasi? Kwa nini maandamano ya upinzani yanazuiliwa kwa nguvu kubwa?
 
Wewe unazani uyo waziri kufanya ivo ni kujinufaisha yeye?

Ayo ni maazimio ya chama uyo waziri ni mjumbe tu.
Unazana wasipopika takwimu na kuongez idadi ya wapiga kura hewa wao watashinda vipi uwo uchaguzi?

Kinachofanyika apo hata itokee mgombea wa upinzani ameshinda kihalali bc idadi za wapiga kura hewa zinatosha kuwapa ushindi ccm pasipo kupata ata kura 1 ya halali.

Na ccm wanafanya ivo kwa kujua wananchi hakula lolote watakalofanya zaid ya kulalamika t mitandaoni

Nyinyi mnawaona kama wajinga ila yao ndo yanawanyookea ivo.
 
Sasa msimamizi wa Uchaguzi Mchengerwa mkwe wa Rais, CCM,Waziri na Mbunge .... Yaani Refa wao, uwanja wao, wachezaji wao halafu wanajitapa eti ni fair game ....CCM ni zaidi ya wajinga na wananchi ndio wajinga squared ila wapinzani wote ndio wajinga squared squared
 
Chawa kupe unateseka ukiwa wapi?
 
J
Siku zote anapotokea kiongozi mzuri na makini basi wewe jua tu huyo mtu lazima atapata maadui wabaya sana na wenye nguvu sana hii ni kanuni hipo hata kwenye vitabu vyenu vya dini mfano daudi ..daniel ...yesu ...muhammad...nk walikutana na hayo mambo na hapo ndipo maadui wanatumia siasa virus kuhalifu jambo jema....wewe ukipata uongozi sehemu yoyote ukaanza kufsnya mambo kwa uhadilifu wale wanufaika wa mambo maovu watakuchukia ...ukisnza kufunga milango ya wizi na ufisadi utachukiwa vibaya sana .. .unajua kwa nini ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…