Takwimu za wachezaji waliosajiliwa Simba na Yanga hadi hivi sasa

Takwimu za wachezaji waliosajiliwa Simba na Yanga hadi hivi sasa

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
2,971
Reaction score
9,437
Wachezaji waliosajiliwa na club ya Simba takwimu za musimu 2021/ 22.
Mosse Phiri 13 goal

Habibu Kyombo 6 goal


Young Africa.

Kambole 0 goal.

Bernard Morson 3 goal

Gael Birigmana 0 goal

Nani Kalamba dume katika hizi sajili hadi hivi sasa?
 
yanga wamesajili magolikipa tu

wachezaji wote kwa pamoja wamezidiwa magoli na inonga
halafu utasikia wakibana pua hao sio wafungaji ni washambuliaji
 
daah tunakoelekea hata beki tutamdai magoli
 
Baadae hatutaki kusikia malalamiko kuhusu Bahasha za GSM
Hawa jamaa ni wa kuwaonea tu huruma. Yaani kama wamerogwa vile na Mudi. Wakati timu ya Wananchi inafanya usajili wa kujazia maeneo yenye uhitaji, wao wako busy kuimba taarab.

Halafu pasipo na aibu, wanaicheka timu iliyochukua makombe yote ya ndani!
Baadaye msimu ukianza na kuchanyanya, utawakuta wanaanza tena kulialia. "Habib Kiyombo ni mzigo" sijui kwa nini kocha alimsajili! Mara Matola hafai! Amekula 10% za baadhi ya wachezaji!!


Time will tell.
 
Huyu kambale Yanga walipewa bure, huwezi sajili forward ana goli 2 mechi 46
 
Wachezaji waliosajiliwa na club ya Simba takwimu za musimu 2021/ 22.
Mosse Phiri 13 goal

Habibu Kyombo 6 goal


Young Africa.

Kambole 0 goal.

Bernard Morson 3 goal

Gael Birigmana 0 goal

Nani Kalamba dume katika hizi sajili hadi hivi sasa?
Huyu naye ni mshabiki wa mpira, duh JF naona kuna uhuru uliopitiliza sasa
 
Back
Top Bottom