Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Hawa jamaa ni wa kuwaonea tu huruma. Yaani kama wamerogwa vile na Mudi. Wakati timu ya Wananchi inafanya usajili wa kujazia maeneo yenye uhitaji, wao wako busy kuimba taarab.Baadae hatutaki kusikia malalamiko kuhusu Bahasha za GSM
Huyu naye ni mshabiki wa mpira, duh JF naona kuna uhuru uliopitiliza sasaWachezaji waliosajiliwa na club ya Simba takwimu za musimu 2021/ 22.
Mosse Phiri 13 goal
Habibu Kyombo 6 goal
Young Africa.
Kambole 0 goal.
Bernard Morson 3 goal
Gael Birigmana 0 goal
Nani Kalamba dume katika hizi sajili hadi hivi sasa?