Kijana ana mpambano mkali na ni ngumu kuona mabadiriko yake ndani ya siku moja. Tusubiri matokeo ya mabadiriko mbalimbali aliyofanya ikiwemo kwenye sector za madini. Ingawa kwa nchi yake hawezi kudumu sana maana kwao kupinduana ni desturi ya kawaidaLeta takwimu zozote za maana kuthibitisha Ibra Traore anahitaji kusifiwa hata kidogo. Ni wajinga tu ndio wanaowasifa Trump, Putin na Netanyahu, kwa mtu mwenye akili hawa ni viongozi wa hovyo kuwahi kutokea katika mataifa yao na dunia kwa ujumla.
Lengo lako ni Uchawa unakusumbua. Utendaji wa Traore unataka kulinganisha madhaifu ya wala keki ya TaifaHuyu kijana wa Burkina Faso anayesifiwa sana na Waafrika wanaolishwa fake news ni kama sanamu tu Burknafso.
Burkinafaso ni nchi ya 182 katika ya 185 katika orodha ya nchi masikini duniani.
GDP ya Burkinafaso wakati kijana Ibra anachakua madaraka mwaka 2022 ilikuwa $b19 sasa hivi baada ya miaka mitatu ni $b21, peanuts.
Kiwango cha umaskini kilikuwa 43% sasa hivi bado ni 43%.
Burknafso inadaiwa zaidi ya $bilioni 10 na wakopeshaji wa nje zikiwemo IMF na China na inasuasua kulipa.
Impressive...... Ndoa yoyote ina honeymoon stageWananchi wake wanasemaje ? Because that is all that matters hayo ya GDP na Takwimu za kina IMF waachie wenyewe ; Burkinabes are the only valuable variable in the equation; Now niambie kama hizo hapo chini ni cooked au zinamkataa vipi ?!!!!!
To qoute the late Thomas Sankara (the one who named Burkina Faso i.e. "the land of upright people" ) It is better to move one Step forward with the People than ten Steps Without.; By the way kabla yake hizo Takwimu zilikuwa zinasemaje
1. He is building the largest hospital in West Africa, which is currently under construction and expected to open in late 2025.
2. A new airport is under construction, set to be completed by the end of 2025, with a capacity to handle one million passengers annually.
3. He reduced the salaries of ministers and parliamentarians by 30% while increasing the salaries of civil servants by 50%.
4. He paid off Burkina Faso's local debts.
5. He established the country’s first-ever tomato processing plant.
6. He inaugurated a state-of-the-art gold mine to enhance local processing capabilities.
7. He banned the export of unrefined gold from Burkina Faso to Europe.
8. He built the country's second cotton processing plant, previously having only one.
9. He opened the first-ever National Support Center for Artisanal Cotton Processing to assist local cotton farmers.
10. He banned British-style legal wigs and gowns in local courts and introduced traditional Burkinabé attire.
11. He prioritized agriculture by distributing over 400 tractors, 239 tillers, 710 motor pumps, and 714 motorcycles to boost production and support rural stakeholders.
12. He expelled French military operations from Burkina Faso.
13. He introduced prison reforms, allowing inmates to work on agricultural farms in exchange for reduced sentences.
14.He inaugurated the country's first electric car brand and assembly plant.
15. He opened Burkina Faso’s first dairy factory, producing a range of dairy products.
16. He launched the Sino-Burkina cement factory, one of the country’s largest, with an annual production capacity of 750,000 tons.
17. He provided farmers with 400 tractors, 239 motorcycles, and 710 motor pumps to boost agricultural production.
18. He supplied farm agents with 714 motorcycles.
19. He supported farmers with 10,000 tonnes of fish feed, 68,964 tonnes of fertilizer, 10,000 liters of phytosanitary products, 18,000 tonnes of vegetable seeds, 2,300 tonnes of feed seeds, and 10,000 tonnes of concentrated animal feed.
Ana miaka takribani mitatu sasa madarakani.Kijana ana mpambano mkali na ni ngumu kuona mabadiriko yake ndani ya siku moja. Tusubiri matokeo ya mabadiriko mbalimbali aliyofanya ikiwemo kwenye sector za madini. Ingawa kwa nchi yake hawezi kudumu sana maana kwao kupinduana ni desturi ya kawaida
Watu wajinga ndiyo wanamshabikia ili kuhalalisha mapinduzi yake ya kijeshi ila kiuhalisia jamaa ni tapeli tu kama matapeli wengine.Hujui chochote, Burkina Faso haina vikwazo vyovyote. Sio vya kimataifa wala kikanda. Makampuni ya West kama Endeavour Mining yako mengi tu yanachimba madini Burkinafaso
Ukishaona mtu anatabia za magufuli anapenda kusifiwa sana akifanya jambo weka questions mark hapo..Huyu kijana wa Burkina Faso anayesifiwa sana na Waafrika wanaolishwa fake news ni kama sanamu tu Burknafso.
Burkinafaso ni nchi ya 182 katika ya 185 katika orodha ya nchi masikini duniani.
GDP ya Burkinafaso wakati kijana Ibra anachakua madaraka mwaka 2022 ilikuwa $b19 sasa hivi baada ya miaka mitatu ni $b21, peanuts.
Kiwango cha umaskini kilikuwa 43% sasa hivi bado ni 43%.
Burknafso inadaiwa zaidi ya $bilioni 10 na wakopeshaji wa nje zikiwemo IMF na China na inasuasua kulipa.
Formula ile ile:Kiukweli mie naona tofauti yake jiwe ni umri na uyu huvaa kombati..... mengine kama propaganda wanafanana.....
Ukowahishwa unapona 😡Huyu kijana wa Burkina Faso anayesifiwa sana na Waafrika wanaolishwa fake news ni kama sanamu tu Burknafso.
Burkinafaso ni nchi ya 182 katika ya 185 katika orodha ya nchi masikini duniani.
GDP ya Burkinafaso wakati kijana Ibra anachakua madaraka mwaka 2022 ilikuwa $b19 sasa hivi baada ya miaka mitatu ni $b21, peanuts.
Kiwango cha umaskini kilikuwa 43% sasa hivi bado ni 43%.
Burknafso inadaiwa zaidi ya $bilioni 10 na wakopeshaji wa nje zikiwemo IMF na China na inasuasua kulipa.
Takwimu huwa zinaweza pikwa tu , hivi huwa haujiulizi kwa nini kiongozi anaejaribu kunyanyua maisha ya watu wa chini kabisa huwa anapingwa mno🤔Ibrah ni baba wa bara la Africa kwa kipi mkuu? Hembu weka takwimu kusapoti badala ya maneno matupu tu na hisia zako.
Umejitahdi kukusanya taarifa, japo nyingi yake ni fake news na propaganda ninazozingumzia au hazina maana yoyote kama hayo mambo ya mawigi.Wananchi wake wanasemaje ? Because that is all that matters hayo ya GDP na Takwimu za kina IMF waachie wenyewe ; Burkinabes are the only valuable variable in the equation; Now niambie kama hizo hapo chini ni cooked au zinamkataa vipi ?!!!!!
To qoute the late Thomas Sankara (the one who named Burkina Faso i.e. "the land of upright people" ) It is better to move one Step forward with the People than ten Steps Without.; By the way kabla yake hizo Takwimu zilikuwa zinasemaje
1. He is building the largest hospital in West Africa, which is currently under construction and expected to open in late 2025.
2. A new airport is under construction, set to be completed by the end of 2025, with a capacity to handle one million passengers annually.
3. He reduced the salaries of ministers and parliamentarians by 30% while increasing the salaries of civil servants by 50%.
4. He paid off Burkina Faso's local debts.
5. He established the country’s first-ever tomato processing plant.
6. He inaugurated a state-of-the-art gold mine to enhance local processing capabilities.
7. He banned the export of unrefined gold from Burkina Faso to Europe.
8. He built the country's second cotton processing plant, previously having only one.
9. He opened the first-ever National Support Center for Artisanal Cotton Processing to assist local cotton farmers.
10. He banned British-style legal wigs and gowns in local courts and introduced traditional Burkinabé attire.
11. He prioritized agriculture by distributing over 400 tractors, 239 tillers, 710 motor pumps, and 714 motorcycles to boost production and support rural stakeholders.
12. He expelled French military operations from Burkina Faso.
13. He introduced prison reforms, allowing inmates to work on agricultural farms in exchange for reduced sentences.
14.He inaugurated the country's first electric car brand and assembly plant.
15. He opened Burkina Faso’s first dairy factory, producing a range of dairy products.
16. He launched the Sino-Burkina cement factory, one of the country’s largest, with an annual production capacity of 750,000 tons.
17. He provided farmers with 400 tractors, 239 motorcycles, and 710 motor pumps to boost agricultural production.
18. He supplied farm agents with 714 motorcycles.
19. He supported farmers with 10,000 tonnes of fish feed, 68,964 tonnes of fertilizer, 10,000 liters of phytosanitary products, 18,000 tonnes of vegetable seeds, 2,300 tonnes of feed seeds, and 10,000 tonnes of concentrated animal feed.
Kwamba hio Hospitali itavunjika, mishahara ya civil servants watadaiwa walichopewa na Elites wanaochukua kikubwa watapewa Riba ?Impressive...... Ndoa yoyote ina honeymoon stage
Kitu kimoja nilichojifunza kwenye hili bara ni kwamba "the more things change , the more they stay the same"; walikuwepo wakina Mugabe, waliokuwepo wakina Museveni
Watu wengi hamuwezi kujadili kwa hoja, hadi hapa ni wachache sana waliojaribu walau kuandika chochote, wengi ni kumkejeli tu mleta mada bila kueleza chochote kama ulivyofanya wewe.Yoda vitu vingine achana navyo tu ndugu yangu hakuna kitu umeandika hapo ukiweza futa hata Uzi wenyewe watakuja kutushangaa vijana huko mbele kuwa mbona hawa jamaa walidumaa hivi..