Talaka inavyoniaribia Binti yangu mapemađź’”

Baba jayaron

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2015
Posts
4,324
Reaction score
5,933
Nnaimani mnaendelea vizuri wanajamii forum,

Kama kawaida yangu kuwaleteeni Mikasa inayonitokea kwenye maisha yangu, sababu hapa ndio sehemu pekee nisiyojulikana uhalisia wangu, napata uhuru zaidi wa kufunguka ili kupata ushauri wa kunikosoa na kuniita moyo.

Ni hivi baada ya kutengana na aliyekua mke wangu, Sasa tunaelekea mwaka wa nne, na muda si mrefu tunakamilisha talaka.

Hapo awali mwanamke aling'ang'ania kukaa na watoto kitu ambacho kiliniumiza saana. lakini nikacheza na akili yake kiasi Cha yeye mwenyewe kutamka kuniachia watoto wangu niishi nao.

Hata hivyo nilishapata mwanamke kutoka nchi jirani ambaye niliamini ataishi vizuri na watoto wangu Hawa wadogo baada ya kua nae kwenye mahusiano kwa kipindi Cha mwaka kabla hajarudi kwao.

Nilimsafirisha kutoka nchini kwao Hadi hapa Tz na Sasa ananilelea watoto, na watoto wangu naona wakipendeza japo huyu Binti angu akibadilika badilika mood.

Mama Yao (mtalaka) aliumia saana kiskia kuna mwanamke naenda kuishi nae, kitu ambacho alitaka aje ampe masharti (kumtisha) huyu mwanamke wangu mpya (step mother) endapo hatoishi vizuri na watoto wake, kitu ambacho Mimi nilimkataza.

akasema anajua atakachofanya kwa watoto maana atawajaza sumu ili wajilinde dhidi ya huyo step mother wao hili nalo nilimuonya lakini nadhani alilifanya kwakua Kuna mambo napambana nayo Sasa nadhani ni matokeo ya hizo sumu.

Binti (9yrs) yangu amekua hamfurahii step mother wake bila sababu ya msingi hata nilipokaa nae kuzungumza nae aliniambia Hana tatizo nae zaidi aliniuliza kwann nimeachana na mama Yake?

Ni desturi yangu kufanya nao ibada pamoja na kuwasaidia masomo Yao hivo wamekua wakiniuliza maswali mbali mbali kwakua wanajua baba Yao hua sifichi.

Mara kadhaa nimekua nikiwasisitizia majukumu Yao ya baadae watakapokua wakubwa kwamba wakiume atakua baba na familia yake na wakike atakua mama wa familia yake.

kila ikifika hatua ya kusema Binti yangu ataolewa na kua na familia yeye anabadilika sura na kukataa kati kati kwamba hato olewa Wala kuzaa nikimuuliza kwann anasema hataki tuu...

Nawaza saana na kujiuliza yule mama yake ni kama mfeminist tuu anakauli za kusema hataki tena kuolewa na haamini katika ndoa na ndoa ni kama utumwa Sasa anaishia kuchapika tuu mjini naona kabisa hiki kilicho kichwani kwa Binti yangu ni matokeo ya kuachana na mama Yao na ndio sumu alizomtia Binti yangu...

Wataalamu nisaidieni nawezaje kumuokoa Binti yangu dhidi ya hili balaa maana Dunia ishaharibika..

Note: kataa ndoa ushauri wenu naujua MSIkomenti.
 
Binti wa miaka 9 ashakuwa na mawazo ya kuolewa au kutoolewa... Mimi binti yangu naye ana miaka 9 nadhani hata wazo hilo hana kabisa na wala hajaelewa ndoa hata ni kitu gani.
Mimi mwenyewe single father
 
Kulikuwa na sababu ipi kubwa ambayo mlishindwa kukaa chini na Mkeo mtalikiwa hadi mfikie kutalikiana?

Wake zetu Kuna wakati Wana kera na kutuudhi, lakini kwani hukujua umemwoa binadamu mwenzio nasio Malaika?

Kwani wewe hukuwahi kumkosea Mkeo na akakusamehe mara kadhaa?

Anyways, Kwa maoni yangu ulifanya haraka Kuoa tena mara baada ya kutalikiana na aliyekuwa Mkeo.
 
ishi vizuriii kwa upendo mkuu na huyo mwanamke uliyenae sasa,ili ajionee uzuri wa familia,amini atabadilika.

Acha kuongea nae hayo maswala,wacha ajionee wewe na huyo mkeo mwingine mkiishi kwa amani, furaha na upendo.
 
Kulikuwa na sababu ipi kubwa ambayo mlishindwa kukaa chini na Mkeo mtalikiwa hadi mfikie kutalikiana?

Wake zetu Kuna wakati Wana kera na kutuudhi, lakini kwani hukujua umemwoa binadamu mwenzio nasio Malaika?

Kwani wewe hukuwahi kumkosea Mkeo na akakusamehe mara kadhaa?

Anyways, Kwa maoni yangu ulifanya haraka Kuoa tena mara baada ya kutalikiana na aliyekuwa Mkeo.
Shkamoo babu wa busara,

unajua mda mwingine sisi wanawake, mwanaume anaeza kua tayar kusamehe yaishe lakini mwanamke nkakomalia talaka na kufanya vituko juu tena vya ajabu,kwahiyo kuliko kufa presha heri ukubali tu.

kuoa haraka labda aliona hatoweza kulea na kusimamia watoto ye mwenyewe kulingana na maisha yake yalivyo🥲coz ukisoma hapo sababu kuu ya yeye kuoa tena ni watoto.

(ulinde sana moyo wako kuliko vyote ulindavyo,mana ndiko zitokako chemchemi za uzima).
 
Nnaimani mnaendelea vizuri wanajamii forum,

Kama kawaida yangu kuwaleteeni Mikasa inayonitokea kwenye maisha yangu, sababu hapa ndio sehemu pekee nisiyojulikana uhalisia wangu, napata uhuru zaidi wa kufunguka ili kupata ushauri wa kunikosoa na kuniita moyo.

Ni hivi baada ya kutengana na aliyekua mke wangu, Sasa tunaelekea mwaka wa nne, na muda si mrefu tunakamilisha talaka.

Hapo awali mwanamke aling'ang'ania kukaa na watoto kitu ambacho kiliniumiza saana. lakini nikacheza na akili yake kiasi Cha yeye mwenyewe kutamka kuniachia watoto wangu niishi nao.

Hata hivyo nilishapata mwanamke kutoka nchi jirani ambaye niliamini ataishi vizuri na watoto wangu Hawa wadogo baada ya kua nae kwenye mahusiano kwa kipindi Cha mwaka kabla hajarudi kwao.

Nilimsafirisha kutoka nchini kwao Hadi hapa Tz na Sasa ananilelea watoto, na watoto wangu naona wakipendeza japo huyu Binti angu akibadilika badilika mood.

Mama Yao (mtalaka) aliumia saana kiskia kuna mwanamke naenda kuishi nae, kitu ambacho alitaka aje ampe masharti (kumtisha) huyu mwanamke wangu mpya (step mother) endapo hatoishi vizuri na watoto wake, kitu ambacho Mimi nilimkataza.

akasema anajua atakachofanya kwa watoto maana atawajaza sumu ili wajilinde dhidi ya huyo step mother wao hili nalo nilimuonya lakini nadhani alilifanya kwakua Kuna mambo napambana nayo Sasa nadhani ni matokeo ya hizo sumu.

Binti (9yrs) yangu amekua hamfurahii step mother wake bila sababu ya msingi hata nilipokaa nae kuzungumza nae aliniambia Hana tatizo nae zaidi aliniuliza kwann nimeachana na mama Yake?

Ni desturi yangu kufanya nao ibada pamoja na kuwasaidia masomo Yao hivo wamekua wakiniuliza maswali mbali mbali kwakua wanajua baba Yao hua sifichi.

Mara kadhaa nimekua nikiwasisitizia majukumu Yao ya baadae watakapokua wakubwa kwamba wakiume atakua baba na familia yake na wakike atakua mama wa familia yake.

kila ikifika hatua ya kusema Binti yangu ataolewa na kua na familia yeye anabadilika sura na kukataa kati kati kwamba hato olewa Wala kuzaa nikimuuliza kwann anasema hataki tuu...

Nawaza saana na kujiuliza yule mama yake ni kama mfeminist tuu anakauli za kusema hataki tena kuolewa na haamini katika ndoa na ndoa ni kama utumwa Sasa anaishia kuchapika tuu mjini naona kabisa hiki kilicho kichwani kwa Binti yangu ni matokeo ya kuachana na mama Yao na ndio sumu alizomtia Binti yangu...

Wataalamu nisaidieni nawezaje kumuokoa Binti yangu dhidi ya hili balaa maana Dunia ishaharibika..

Note: kataa ndoa ushauri wenu naujua MSIkomenti.
Pole sana kwa changamoto hiyo, changamoto uliyona nayo wewe ni ndogo mimi nimepita zaidi ya hizo

kama una ndugu ama familia rafiki huyo mtoto ni vizuri akazitembelea hizo familia, lakini ziwe zenye maadili mema, (maadili ya kidini)

Lengo akajifunze utofauti kwakukaa hata kwa wiki moja bila wewe kueleza wahusika wa hizo familia dhumuni la kumpeleka huko

Wajulishe tu kwamba unataka awafahamu ndugu na jamaa vyote vyote utakavyo ona inafaa ilimradi usiliseme tatizo alilonalo

Nina uhakika mtoto atagundua utofauti wa mapenzi anayo pewa hapo nyumbani kwako tuanzie hapo Kwanza

Watoto wanajua kwamba tofauti zenu zimesababisha mtengane na huwa wanasema tofauti zenu zisisababishe sisi tupate shida, (your difference should not) make us suffer
 
Nnaimani mnaendelea vizuri wanajamii forum,

Kama kawaida yangu kuwaleteeni Mikasa inayonitokea kwenye maisha yangu, sababu hapa ndio sehemu pekee nisiyojulikana uhalisia wangu, napata uhuru zaidi wa kufunguka ili kupata ushauri wa kunikosoa na kuniita moyo.

Ni hivi baada ya kutengana na aliyekua mke wangu, Sasa tunaelekea mwaka wa nne, na muda si mrefu tunakamilisha talaka.

Hapo awali mwanamke aling'ang'ania kukaa na watoto kitu ambacho kiliniumiza saana. lakini nikacheza na akili yake kiasi Cha yeye mwenyewe kutamka kuniachia watoto wangu niishi nao.

Hata hivyo nilishapata mwanamke kutoka nchi jirani ambaye niliamini ataishi vizuri na watoto wangu Hawa wadogo baada ya kua nae kwenye mahusiano kwa kipindi Cha mwaka kabla hajarudi kwao.

Nilimsafirisha kutoka nchini kwao Hadi hapa Tz na Sasa ananilelea watoto, na watoto wangu naona wakipendeza japo huyu Binti angu akibadilika badilika mood.

Mama Yao (mtalaka) aliumia saana kiskia kuna mwanamke naenda kuishi nae, kitu ambacho alitaka aje ampe masharti (kumtisha) huyu mwanamke wangu mpya (step mother) endapo hatoishi vizuri na watoto wake, kitu ambacho Mimi nilimkataza.

akasema anajua atakachofanya kwa watoto maana atawajaza sumu ili wajilinde dhidi ya huyo step mother wao hili nalo nilimuonya lakini nadhani alilifanya kwakua Kuna mambo napambana nayo Sasa nadhani ni matokeo ya hizo sumu.

Binti (9yrs) yangu amekua hamfurahii step mother wake bila sababu ya msingi hata nilipokaa nae kuzungumza nae aliniambia Hana tatizo nae zaidi aliniuliza kwann nimeachana na mama Yake?

Ni desturi yangu kufanya nao ibada pamoja na kuwasaidia masomo Yao hivo wamekua wakiniuliza maswali mbali mbali kwakua wanajua baba Yao hua sifichi.

Mara kadhaa nimekua nikiwasisitizia majukumu Yao ya baadae watakapokua wakubwa kwamba wakiume atakua baba na familia yake na wakike atakua mama wa familia yake.

kila ikifika hatua ya kusema Binti yangu ataolewa na kua na familia yeye anabadilika sura na kukataa kati kati kwamba hato olewa Wala kuzaa nikimuuliza kwann anasema hataki tuu...

Nawaza saana na kujiuliza yule mama yake ni kama mfeminist tuu anakauli za kusema hataki tena kuolewa na haamini katika ndoa na ndoa ni kama utumwa Sasa anaishia kuchapika tuu mjini naona kabisa hiki kilicho kichwani kwa Binti yangu ni matokeo ya kuachana na mama Yao na ndio sumu alizomtia Binti yangu...

Wataalamu nisaidieni nawezaje kumuokoa Binti yangu dhidi ya hili balaa maana Dunia ishaharibika..

Note: kataa ndoa ushauri wenu naujua MSIkomenti.

Huyo mtoto Bado ni Mdogo, Kaza hapo kwenye sala na kuwasaidia home work, kwenye sala ongezeni kumwombea na huyo binti na Mwonyeshe Upendo!

Mzee wa sala unakiri kwa kinywa kwamba mtoto anaharibikiwa? Unaacha kujua kanuni ya ukiri? Namwamini Mungu binti yetu huyo atakuwa sawa tu, Amina!

Swali kwa wanawake:

Hivi wakati mnaingia mkataba wa Kuzaa hawa watoto huwa mwafikiri nini ? Hizi ndoa hizi shida sana!
 
Kuachana ni issue ila kuoa tena ni issue nyingine.
Kupata bahati ya kuwa single kihalali ni kitu kisicho cha kuchezea , hio ilikua ni golden chance bro umechezea.

Mpe muda huyo mtoto, endelea kumlisha positive hata kama ameshiba negative.
 
Binti wa miaka 9 ashakuwa na mawazo ya kuolewa au kutoolewa... Mimi binti yangu naye ana miaka 9 nadhani hata wazo hilo hana kabisa na wala hajaelewa ndoa hata ni kitu gani.
Mimi mwenyewe single father
Inategemea na mazingira, Binti yangu akiwa na 4yrs alitulazimisha na mama yake tumueleze ukweli unaoleweka tumempataje pataje baada ya kumueleza uongo mara kadhaa.... So Yuko hivo tangu kuzaliwa maana hata Sasa lazima aniulize baba unakoenda utaridi saa ngap na muda ukipita ataomba simu anipigie nimwambie Niko wap... Yaan ni balaa saana huyu mtoto
 
Back
Top Bottom