Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Unachelewa ujue?NiPM fasta mie mpelelezi wa kujitegemea.
Huwa sishindwi na sijawahi kushindwa [emoji23][emoji23][emoji23].
Karibu mama.
 
umuone kyuma au mboo wala haisadii,ukweli ni kwamba na yy kapatikana alizidi kujiona yeye ni untouchable, Kp kamuumiza vya kutosha ndio maana anamtafuta usiku na mchana...tumejua mambo yake mengi kupitia kp. alikuwa anahangaika kuonyesha her perfect life kumbe naye
anamapungufu tu kama wengine. kichambo ni kichambo tu haijalishi unachambwa na id fake au la! maumivu yako pale pale.
 
Umenena DEMBA mtu kichambo kichambo tu mama
 


mkuu Nakubaliana na wewe kabisaaa, ila nilichokuwa nasema KP anamengi ya kumchana Mange maana anamfahamu lakini Mange hana mengi ya kumchana maana hamfahamu yeye wala ndugu zake.....hicho ndo nilichomaanisha...let's enjoy ze mtanange
 
Kweli kichwa panzi kiboko ya mange, mange kavurugwa kabaki kucheza inde ya Dully, eti mapre haachwi?! Kaachwa na ushahidi juu talaka mahakamani kama kweli mange mbabe si ungemalizana na baba watoto hapo nyumbani uchuke karatasi zako usepe?!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

ukatoka ndukiii!!au ukapumzika jf!!????
 
Si kwa kichambo nilichopewa na kutishiwa kupatwa kwa ban...nikawa mdogo sisimizi temboo[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole...

Ila usiwe unaogopa mishale wewee...

Mtu mzima hatishiwi nyau wangu!!

Loohhh!!
Mi ningetembea nae Huyoo....!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…