Sifurahii ndoa kuvunjika, ila Mange alizidi jamani kujinadi kha! mume wake ndio mume, mzuri, tajiri anajali, ameelimika, amemzalisha watoto wazuri, loo, ikafika mahali akatukana wabongo waliolewa na wanaume weusi, eti wanaume weusi hawajui kupenda, wanyanyasaji, washenzi wa tabia? Akaja na aIDEA ya kuwasaidia wanawake wa bongo kuolewa na wazungu.. mwe... wenye akili kama zake walitiirika balaa mpaka akasema atawachaji kwa walioshindwa kutumia huo mtandao wa kujiuza, leo MZUNGU ambae kwake ndio MUME kamuacha? balaa hilo ni kubwa ndio maana kazidi kuwa chizi.. pole sana na ajifunze kuwa HUJAFA HUJAUMBIKA.