Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Mleta mada atuonyeshe ila lisemwalo kama halipo laja. Mange ni member hapa aje akanushe.
Alieshawaambieni mara kibao mtasubiri sana divorce lkn hamwishi kudinda kulazimisha kaachwa, nyie mnaojifanya mnamjua zaidi kuwa kaachwa wkt hana taarifa za kuachwa ndo mlete proof ya accusation yenu!
 
Khaaa huku kumbe mambo yalikuwa motooo
Hakufaiiiiii mambo ni hawt hawt.
Mimi nilimchamba hapa MangeKimambi akaenda kuwalilia mods nikapigwa ban ya siku 3!
Eti sababu ni matusi kwa mange!
Like serious jamani?
Nilimtukana wapi?
Nilitumia tafsida sana.....
Ila ndio hivyo,alivyoona maji ya shingo ikabidi alie nifungiwe.
Sasa hivi naangalia tu.....
 
Huyu Dada anajishughulisha na mini au ana professional gan ?maana kutwa yuko mtandaoni kaz kusema wenzake wauza unga,Mara WaTz yaan vipoint virefu virefu tu.....hii kaz ndio inamlipa mpk kuishi L.A???
Ni mama wa nyumbani na ana MBA.

Guys, in Europe or America most mothers stay at home to look after their own kids. It's too expensive to have a child minder. It's also risk as kids get raped and so on

Ndio mana Mange hukaa nyumbani, you don't live there, and that's why you don't know the real life.
It's very normal, no matter how rich people are, family comes first.
 
And u hv to understand that not to all people who live there but only to the natives and official citizens of US and is different when you comes at mange's issue, and who told u that in America women are staying at home to look after children? Can you just go there even for 1 week and see how women are very hard workers???? Hahahaaaaa I hope you don't know the real life of US and maybe someone told you like that and you with your low thinking capacity ukaamini....That is not Mange's life at all but she knows how she live now.... Just wait and see...cas time is not lying... And always truth stand at its place...... Take care. And watch out.....
 

Asante sana!! Umemaliza yote dear..time time time never lie
Mange its just a matter of time and everything will be out..sitaki kuwaza kigugumizi kitakua kinapimika milimita ngapi ha ha haaaaa
 
Lmao!!! Bad situation alikupigia simu akakwambia? Ulifika kwake ukaamwona? Hahahaa Damn!!! Hivi nyie ndo tunawategemea muwe viongozi wa nchi baadae kweli?
Anyway, For your information, Niko USA bibie ndege zangu international huwezi kujilinganisha nami sawa wala kumshobokea wkt niko nchi aliyopo tena miaka kibao kuliko Yeye! Pili, mimi niliona Mange akiolewa akisaini papers za ndoa, sijawahi ona kasaini papers za divorce sasa nyie wenzetu wala vumbi mnaoumwa na mbu Tandale ndo mnajua zaidi mkiongozwa na yule taahira wa Atlanta, leteni proof yake inayoonyesha divorce, au kwa kukusaidia zaidi, marekani wanaweka kila kitu online , hebu leteni link ya California au Texas inayoonyesha ka divorce?? Mkishafanya hayo mnyanyue pua, otherwise kale vumbi shosti marekani hatuioni kwenye TV tukifika airport tunaambiwa "welcome home" shosti kama wewe mwenzetu hujafika hata zanzibar lazima usijitambue kama hivi.
Haya wahi weka chandarua chako cha blue ulale na umuote mange na mumewe.
 
There is a very tiny thin line between Love & Hate, one never realizes it until they have crossed it!!

Wanawake wenzangu nawaomba, imetosha please mnapoelekea sasa mnamkufuru mpaka Muumba!! Can't ya'll live n' let live jamani?!

***No wonder the world is in shambles!!
 
ha ha ha ha ha NIFAH hiyo picha alitoka kula tunda kwa MZUNGU si unajua tena wazungu wanatumia viagra kwa hiyo MECHI badala ya Dk 90 inaongezwa Dk 30 THEN matuta yaani mzunguko wa kwanza ni Dk 145,
Hahahahaaaa halafu mzungu pori anapiga kote kudadadeki.
Lazima adate.
 
Hahahaaaa you r so funny.... Very funny.... So to know something Ni had akucall? Or everything you know ulijua kwa kupigiw cm?? Kwanza ebu angalia ulichoandika mala ya pili then ukae ujitathmini kama Una akili sawasawa au zmekuruka kidogo.... I hope hauko sawa... So to live in US ndo kujua everything about mange??? And oooh mnamjadili mtu ambae anawaangalia Tu....!!!! Serious???? Mange angekuw anaaangalia Tu havimchomii angekuw anajipostisha ujinga wake insta??? Au huon anavojibu??? Acha ujinga we jimama....bichwa kubwa akili 0%..... Kwanza unanshangaza Sana.... Yani mange akisemwa oooh watu wanamuonea wivu??? ILA ye anavosema watu huwa anawabariki SI ndio?? (kwa akili zako fupu) ...alafu najichosha bure tu uskute nabishana na mange au mtu kwenye akili kama za mange.... Jichunguz vzur kwanza cas unachoongea na nnachokijua Ni 2 dfrnt things.... And u dnt hav to know how do I know.... But all you have to know now is that you r very stupid cas unaongea kiushabiki and not reality na mifano yako ya us vs tandale.... So what if tunaishi tandale??? Hahahahaaaaaa limbuken bhana limbuken Tu...kapme kwanza ndo uje u argue with me dear friend.... Cas naona hauko sawasawa
 



Unfortunately, kumbe nabishana na mtu asiyejua hata kuandika kiswahili fasaha, how old are you? 15? 16?
Umeshafanya homework? Umeenda tuition leo? Umefua uniforms zako? Umeshadeki nyumba? Vipi leo umepata daladala la kukuwahisha shule? Ulipata siti? Au mwenzetu star bongo wa kubinua makalio?
Whatta douchebag! Pita kushoto,
 
hahahaaa don't panic.... Hatufundishani lugha hapa,.., if you want to know kiswahili fasaha then go the language forums.... And now naconclude that your so so so stupid idiot woman.... Una watoto kweli? If unao wamepata hasara Sana kuzaliwa na mama kama wewe.... How old am I? Do you want to know? Really??? Hahahaa so ukishajua then what next? Yani mama zima na mitoto Yake eti linatoa povu kuulizia miaka.... How dare you??? Kama unakosa hoja kwenye upuuzi WA mange hivi unaweza hata kuhudumua familia yako kweli??? Oops nshasahau kumbe upo USA? unafanya kaz gan vile?? Kwanza umeshantoa nnje ya mada.... Kaa pembeni idiot if huna hoja....
 
Mbona hapo chini viatu papa na ngulu?au naona vibaya?what a coincidence viwe vyamiguu tofauti sendoz hizo?
Hahahahahaa mam wala hujaona tofauti,ndio Mange huyo akiwa zake uzunguni LA.
Na hayo ndio maisha yake ya home, achana na mapicha picha ya mahotelini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…