Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!



Cha Muhimu umeelewa japo unajidai mbishi ku switch request cause u don't know where to get your evidence! Kid, Proving a lie is never easy,
Mtaisoma namba na wishes zenu za kibuguruni. Atawaumiza sana mtatukana sana yeye anasonga. Sura zitawashuka sana mwaka huu na mtatunga hadi vitabu kuhusu Mange, anawaumiza akili na mioyo lkn mnajitia wabishi & disminders yah?!!! Mtakufa siku si zenu Na bado atawakomeshaaaaaa!!!!!! Km hamumpendi komeni kumfatilia, sio masaa 24 mko kwenye page yake halafu hapa mnajishaua eti ooh who is she, ooh hatukondeshi.....
Ni mimi Wa USA, got a problem with it? Wasalimie Kwa Mtogole,
 
MBA =Married but available
 
Huu uzi naufuatilia kwa ukaribu saaanaaaaa zaidi ya matokeo ya marudio ya urais wa Zanzibar!!
 
Huu uzi naufuatilia kwa ukaribu saaanaaaaa zaidi ya matokeo ya marudio ya urais wa Zanzibar!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Mange aliniboa alivomdhalilisha lowasa...iliniuma kama vile ni mzazi wangu..gao ndugu sijui walikua wanajiskiaje..
 
Da Zenat alikuwa na usongo wa pesa zake, kumbe alikuwa anapiga picha chupi. IG ilinimazia sana bundle!!!!
mpenzi nilipitwa sana.sina IG kwa sasa coz s yangu inazingua.em nipe umbea kidogo nduguyo naugua kwa kupitwa na umbea hii.si unajua ma diaspora tu nakua bize sana saa moja tunakoasa muda wa IG
 
mpenzi nilipitwa sana.sina IG kwa sasa coz s yangu inazingua.em nipe umbea kidogo nduguyo naugua kwa kupitwa na umbea hii.si unajua ma diaspora tu nakua bize sana saa moja tunakoasa muda wa IG

Inabidi nipities notes kidogo hata mimi ulinipita, majukumu ya kazi yalizidi wiki mbili hizi. Nitafeli mtihani inabidi nirudi kwa kichwapaziii na mapya2. Latest ninasikia social wanataka kuchukua watoto, mama vikimpanda anatwanga watoto, mzungu anamind kinoma.
 
Huu uzi una cat fights za kutosha ngoja nikae pembeni niendelee kuifurahi zangu
 
Mapya hayo ya kutwanga watoto.
Ila siku hizi kazidi kuwa rough jamani.
Kama kichaa!
 
Mapya hayo ya kutwanga watoto.
Ila siku hizi kazidi kuwa rough jamani.
Kama kichaa!
Ukipenda maisha ya juu kubali kupopolewa.Alipenda sana maisha ya ki posh spice. Sasa anaumbuka.kwa hizo picha chache nimejua kama huyu mama ni mchafu mno.pampers imezagaa,kwapa jeuuuusiii mmmh mola nistiri.maisha ya kisupanyota sitaki ng'oooo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…