Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Mjini sihami pa tamu bwana, watu wana mbinu za kuishi.
 
Shoga nilisikia le Mutuz huwa halipi mshahara.
Kwani hukusikia ile kesi yake na aliyemuajiri kama Secretary?
Nasikia hakumlipa mshahara kwa miezi mitatu!
Basi abaki na hilo tangazo lake la kazi. Mie nataka nilipiwe na NSSF na mkataba wa maana mshahara tarehe 25. W. J. Malecela hili tangazo lako liko certified na wizara ya kazi? mi nishatuma e mail ya maombi.
 
Mwezi mchang/bi polar
 

Stress ndo zimemuweka baba Kenzo kwa Nyari, pia Nyari anataka kumkomoa Mange. Mapenzi ya hivi huwa hayafikagi mbali. At any cost, dont date out of revenge ili kumuumiza mtu. Mwisho wa siku waweza jikuta wewe ndo umeumia zaidi kuliko huyo uliyetaka kumuumiza. There is no way Lance can marry Nyari hata kama wame divorce na Mange. He is with her ili kumaliza stress but there is no love between the two. Only time will tell .
 
Exactly

Ila nashangaa kwa nini wanawake hawajisogezi.....

Unakuwa na ex wa mwenzio ili kumkomoa as if nyari anapofirigiswa uchovu unaenda kwa Mange.

Sasa usishangae wanawake wa namna hii wakafall halafu mwanaume moyo wake ukipona anaenda kuipoa mwingine....yeye ataishia kutumika.

Fun thing hata IG ya lance hamposti hata mara moja
 


Na hilo wewe ndiyo unayelifahamu?
 
Lance hayupo IG
Ile account inamilikiwa na mange
 
kweli lance hawezi kuoa tena black amekoma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…