Muongo bwana yule [emoji23] [emoji23]ile lv alisema kainunua million 25 za kibongo ilikuwa mwaka 2012 au 2011
si angenunua nyumba bongo aishi?
mimi ninayo ya elf 50 yaani naitumia kwa machale hadi basi ahahaaUwiiiiiii jamani jamani!
Million 25 kununua handbag?
Jamani Mange ana kufuru nyie?
Mimi nikinunua handbag zaidi ya 50,000 roho inaumaje?
Kwenye magroup nipo strictly sana.unajua whatsup saa zingine unakuwa upo kwenye magroup ya kipuuzi watu wanakupigia simu ovyo
ila original ndo bei zake zile lv cheki online bei zake halafu ndo kipindi zinatoka sijui?Muongo bwana yule [emoji23] [emoji23]
Wale malady wa mjini walisema watamuwekea KP advocate.Jamani natoa rai tufunge na kusali kumuombea mmbea mwenzetu KP asiwe ndio yeye aliyekamatwa.
Maana yeye pekee ndiye aliyeweza kuuangusha mbuyu ulioshindikanika Mange.
Mwenzangu yule mmama anayesema ndio KP...mhhhh!
Mange ana mashauzi safari hii kapatikana lance dubai [emoji23] [emoji23]ila original ndo bei zake zile lv cheki online bei zake halafu ndo kipindi zinatoka sijui?
kuna mmoja alisema anatoa 20 m cash kwa kp nauli ya kwenda mahakamani nadhani ni mwamvita yule ahahaa wananipa raha waleWale malady wa mjini walisema watamuwekea KP advocate.
Bomu nalisubiri kwa hamuuuuuu.Tusubilie kwakweli hilo bomu ila me sa nyngne namuonea huruma KP akianza kushusha mashambulizi yake ila mange kapata kiboko yake
duuuhh!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]mimi humu kwenye mitandao ni mifekero tupu hata whatsup linamba langu ni fekero
nina simu mbili
ya ukweli kuna wazazi ndugu na watu wa ofsini basi
wengine wooote wanakula fekero
ameeen!!asikamatweeMimi naamini sio yeye...KP hakamatwiiiii [emoji108]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mi IG natumia fake situmii real accountMimi siku KP akirusha bomu la Hiroshima huwa nalog in kwa fekero nachekeleaje?
Tena huwa nachati na KP DM sana kwa hilo fekero [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mwenzangu kucomment kwa a/c yako ya ukweli ni kujitafutia mabalaa tu.
unajua pochi ina raha yake ukiwa na mbili tatu za maana sio mbaya ila sio unajisahau ununue pochi ya milioni 21 kisa designer etiMimi ninazo naombwa mpaka nanuniwa na watu.
Huwa natoka nazo mara chache sana,ninavyozipenda huwa naomba Mungu siku mama yangu asiniombe maana utakuwa mtihani!
Na mimi na fekero ila lemutuz kaniblock sijui aliniona nimemchamba kwa mtu yaan ata sikumbuki nilichomfanyia [emoji23] [emoji23]Bomu nalisubiri kwa hamuuuuuu.
Kuanzia leo saa 6 usiku nalog in kwa fekero maana kule nimemsubscribe KP kila anachoweka naletewa ripoti.
Heheheeeee [emoji108][emoji108][emoji108]
mimi ni fekero everywhere ukitaka kunijua unione tu live sio humu kwenye mitandaoduuuhh!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
ameeen!!asikamatwee
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] mi IG natumia fake situmii real account
Atakua mwamykuna mmoja alisema anatoa 20 m cash kwa kp nauli ya kwenda mahakamani nadhani ni mwamvita yule ahahaa wananipa raha wale
KP anatupa raha wengi jamani,siku akiondoka IG nitatundikiwa dripu.Wale malady wa mjini walisema watamuwekea KP advocate.
ahahaaNa mimi na fekero ila lemutuz kaniblock sijui aliniona nimemchamba kwa mtu yaan ata sikumbuki nilichomfanyia [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli Miss unakumbuka mengi,hadi bei?kamuachia mzungu madeni mpaka mvunguni? mange jamani si angejifungulia tu nyumbani jamani? eti millioni 16 ? hivi ni mzima kweli unaenda kujifungua kwa bill hyo ?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] toba ilayh!heee watu wako seriousWale malady wa mjini walisema watamuwekea KP advocate.
aiseeeh!wameamua jamaniii!!kuna mmoja alisema anatoa 20 m cash kwa kp nauli ya kwenda mahakamani nadhani ni mwamvita yule ahahaa wananipa raha wale
nifundishe kufungua fake account IG maana KP kaniblock!Bomu nalisubiri kwa hamuuuuuu.
Kuanzia leo saa 6 usiku nalog in kwa fekero maana kule nimemsubscribe KP kila anachoweka naletewa ripoti.
Heheheeeee [emoji108][emoji108][emoji108]
nifundishe kufungua account fake IG!KP anatupa raha wengi jamani,siku akiondoka IG nitatundikiwa dripu.
Maana nikishachoka akili huwa naenda kwenye page yake nacheeeeeka.
Sasa kumkosa sijui itakuwaje.
Lazima afadhiliwe,no way.