Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

[emoji23] [emoji23] mm kwenye og niliblockiwa na lulu nilicomment kwa tzshaderoom nikala block kwenye fekero ndo lemutuz ninavyompenda yule babu ata sijui nilimchamba nini
 
Kwanza IG hawakubali kutumia e-mail 1 kufungulia a/c zaidi ya 1.

Pili kama unafungua fekero ni bora utumie fekero mwanzo mwisho.
Si unajua tena just in case?
Yaan fekero yangu nahisi ina email mojawapo ya ukweli kati ya nilizo nazo
 
Kwahyo KP ni kweli ni uyo emma kama anavyosema mange
 
Wewe unaambiwa muda anaospend on line hata angefanya kazi ya 1$ per hour angekuwa tajiriπŸ˜€πŸ˜€
Uwiii tarehe mbili September imefikaaaaa....... Ni saa nane usiku hapa Los Angeles.........
.
.
From today this page will be about me , my kids and uchambuzi wa siasa za Tanzania........Kuanzia leo Nomore drama and no more maugomvi ... Hata nikichambwa ntajikaza kisabuni ustaarabu ukinishinda ntamvizia Bae kaingia kulala alafu nachamba akiamka asubuhi nafuta posti...Ila ntajikazaaaaaa kisabuni....
.
.
Mnajua umbea, drama na maugomvi kwangu ni kama mla unga umwambie aache Unga. Anaweza kuacha Ila hachelewi kurudia.. Nimeishi Maisha ya drama since 2008, kwa Hiyo mjue Mie ni teja wa drama sichelewi kurudia so inabidi mnisaidie nisirudie Kwa kuacha kuniletea habari za watu la sivyo siku Arosto ikinishika sana ntaandika tu...
.
.
Ila scandal la Ghalib wa Home Shopping Centre siku arosto ikishika ntaharisha tu...Ni balaaaa...Ndio ni Maisha yake personal Ila I can't stand hypocracy ya Makonda on a certain issue ..... .
.
Niombeeni sana *In Magufuli's voice * Niweze Kuwa mdada mwenye heshima zake ili jamaa atie nanga....
.
.
.
Leo nauaga umbea na umaskini kwa siku moja.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…