Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Mimi nimewahi kublockiwa na watu wawili tu.
Tiwa Savage na ChaggaBaby.
Tiwa hiyo siku alivaa hovyoooo,nikamchamba mwenzangu,nilimuambia "You look like an old woman"
Uwiiiii dakika 5 mbali,hadi leo sijui chochote kuhusu Tiwa.

Chagga nilicomment kwa usipojipanga "Chagga bibi" nikashangaa block tayari.

Ukikomment sehemu vibaya kuhusu wao huwa wanasoma na wanakublock.

Jokate tu ndio nilimchamba hajapendeza na hakuniblock.
[emoji23] [emoji23] mm kwenye og niliblockiwa na lulu nilicomment kwa tzshaderoom nikala block kwenye fekero ndo lemutuz ninavyompenda yule babu ata sijui nilimchamba nini
 
Kwanza IG hawakubali kutumia e-mail 1 kufungulia a/c zaidi ya 1.

Pili kama unafungua fekero ni bora utumie fekero mwanzo mwisho.
Si unajua tena just in case?
Yaan fekero yangu nahisi ina email mojawapo ya ukweli kati ya nilizo nazo
 
Issue yenyewe iko hivi: Katika ugomvi wa Mange na Le Mutuz yote haya ni katika harakati za kurushiana makombora. Aliye kuwa mke wa Le Mutuz anae cousin yake anaeitwa Anita Magehema, Anita na huyo EmmaNkonoki walikulia chuo kikuu wote ni watoto wa maprofesa. Sasa Anita aligombana na Emma basi ndiyo vyote vimeingia kwenye ugomvi. Huku kugombana na kila mtu huku, hata adui yako humjui ni nani.
Kwahyo KP ni kweli ni uyo emma kama anavyosema mange
 
Wewe unaambiwa muda anaospend on line hata angefanya kazi ya 1$ per hour angekuwa tajiri😀😀
Uwiii tarehe mbili September imefikaaaaa....... Ni saa nane usiku hapa Los Angeles.........
.
.
From today this page will be about me , my kids and uchambuzi wa siasa za Tanzania........Kuanzia leo Nomore drama and no more maugomvi ... Hata nikichambwa ntajikaza kisabuni ustaarabu ukinishinda ntamvizia Bae kaingia kulala alafu nachamba akiamka asubuhi nafuta posti...Ila ntajikazaaaaaa kisabuni....
.
.
Mnajua umbea, drama na maugomvi kwangu ni kama mla unga umwambie aache Unga. Anaweza kuacha Ila hachelewi kurudia.. Nimeishi Maisha ya drama since 2008, kwa Hiyo mjue Mie ni teja wa drama sichelewi kurudia so inabidi mnisaidie nisirudie Kwa kuacha kuniletea habari za watu la sivyo siku Arosto ikinishika sana ntaandika tu...
.
.
Ila scandal la Ghalib wa Home Shopping Centre siku arosto ikishika ntaharisha tu...Ni balaaaa...Ndio ni Maisha yake personal Ila I can't stand hypocracy ya Makonda on a certain issue ..... .
.
Niombeeni sana *In Magufuli's voice * Niweze Kuwa mdada mwenye heshima zake ili jamaa atie nanga....
.
.
.
Leo nauaga umbea na umaskini kwa siku moja.....
 
Back
Top Bottom