Hee makubwa...nifah umeona sasa hivi kwa mange eti anajifanya katumiwa DM na shost gani sijui eti asiruhusu nyari kukaa karibu na wanae...basi kampaka mbayaaa madai asimchonganishe na ba kenzo..ptuuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sijui itakuwaje kwakweli.Imagine una majukumu ya familia huku KP anatupia mabomu kama haya.
Tehetehe jinsi simpend sikuwa nikitaka kusikiza wala kusikia habari zakeKwani hukupata habari zake alivyokuwa anahudhuria kwa waganga kila akija bongo?
Heheheeee
Huu ukweli Mange haujibu. Haha Ema ni victim kama victim wengine aliowahi kuwachafua. Kp sio relevant kwetu wala Habari za familia yake... we are interested na Habari za Mange. Kama ambavo yeye yupo interested na Habari za watu wengine.KP hatumjui wala hana impact yeyote kwenye maisha kama huyu Kisebengo aliyedhalilisha watu, na kujiona ana class kumbe ana glass.
Wekeni screenshotsHee makubwa...nifah umeona sasa hivi kwa mange eti anajifanya katumiwa DM na shost gani sijui eti asiruhusu nyari kukaa karibu na wanae...basi kampaka mbayaaa madai asimchonganishe na ba kenzo..ptuuuu
Nimekupm Ms. LincolnWekeni screenshots
Kumbe roho imemuuma eee[emoji12]
Hivi lazima details zote aweke public
kichwapanzioriginalHAYAAA HAYAAAAAAAAAA BOMU NO.1
MANGE UNAITWA HUKO UFANYE UPESI UKACHUKUE UCHAFU WAKO ULIOUSAHAU KWENYE GARI YA BWANA WA WATU. MADUDE MNATUMIA HAMYASAFISHI. SIKU MNAAMBIWA MRUDISHE MAGARI YA WATU MNATOA MAKOROKORO YENU HAYA MABOROBETRI MNAYASAHAU HUMO CHINI YA VITI PTUUUUUUUUUUUUU . KUJICHOKONOA VEPEEEEEE. .
ETI NINA BWANA KITAMBOO NYOOOO HUYU NDIO BWANAKO???MBONA MIEZI 2 HAMUONANI NA WALA HUMTAFUTI???NDIO USHANUNUA MWINGINE? ??
KUMBE WATU MNAENDESHA MAGARI HUKU MNAJICHOMEKA HIVI VINAWATEKENYA??
Shost amepewa lift akasahau dildo kwenye gari😀😀😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe Mange alipewa lift kweli?
Nae kajibu mapigo kwa kusema KP kaachika sijui mama yake ana UKIMWI.
Post imedoraaaa...Mange kupambana na KP ni kuzidi kujidhalilisha tu.
Kila mtu anajua KP alishamtoa KO.
Nimegundua Mange ni short temper hawezi vumilia hata kidogo yaani Leo tu kashajibu mapigo!Noma sanaaaaaa
hawezi hata kidogo tena leo lazima atamrusha hoyce temuNimegundua Mange ni short temper hawezi vumilia hata kidogo yaani Leo tu kashajibu mapigo!
yaaah!kumaliza hasira zake,yaani anacheza ngoma ya kichwapanzii!hawezi hata kidogo tena leo lazima atamrusha hoyce temu
Asingeweza kugawa ile wakati ndoa ilikuwa inafikia ukingoni, nyingine anunue na nini?! Huyo mr. Rolex hawezi katu kumruhusu acheze na pesa yake.Umenikumbusha drama za u-turn...
Kokugonza na ile Avatar yake...
Uwiiiiii ila kulikuwa na umbea kule balaa.
Ukitaka kupata habari za mujini unasoma comments tu.
Sasa hivi naona wamehamia Insta sijui?
LV ilikuwa mikwara tu,hakugawa wala nini [emoji16][emoji16][emoji16]
Haahaaa, Nifah bana! eti mapichapicha, uwiii mange kiboko akaenda mpaka kumchongea mtoto jino la bandia kisa ana pengo eti anaogopa hawata mchukua, looh! katoto kameng'oa jino kanazibwa na la bandia huyu mama ni shidah!Hivi mikataba na mapichapicha ya model Kenzo yaliishia wapi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwenzangu nimeona picha ya Kenzo na Nyari nimesisimkwaje?Hee makubwa...nifah umeona sasa hivi kwa mange eti anajifanya katumiwa DM na shost gani sijui eti asiruhusu nyari kukaa karibu na wanae...basi kampaka mbayaaa madai asimchonganishe na ba kenzo..ptuuuu
Halafu kasema jana tu,hata siku haijaisha tayari keshaanza kuweweseka...Imagine!Huu ukweli Mange haujibu. Haha Ema ni victim kama victim wengine aliowahi kuwachafua. Kp sio relevant kwetu wala Habari za familia yake... we are interested na Habari za Mange. Kama ambavo yeye yupo interested na Habari za watu wengine.
After all alisema anaacha kufyatuka akili, Imekuwaje? Katekenywa kaharisha
wapi huko?Mwenzangu nimeona picha ya Kenzo na Nyari nimesisimkwaje?
Jamani inaumaaaa...jaribuni tu kuvaa viatu vya Mange.
Hatokaa awasahau Nyari na KP maisha yake yote [emoji23][emoji23][emoji23]
umeona wapi hiyoo picha?Mwenzangu nimeona picha ya Kenzo na Nyari nimesisimkwaje?
Jamani inaumaaaa...jaribuni tu kuvaa viatu vya Mange.
Hatokaa awasahau Nyari na KP maisha yake yote [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji28][emoji28]sbbu ya dp kupenda chadema na rachel anapenda chademaMhuu...
I took a break karibu nusu mwaka humu, sasa wewe umenihisi kivepeee[emoji53]
Sasa kama upo kama kajara chura anatosha mambo ayo tuongee sisi vimbau mbaumimi nipo kama kajala ila nataka kuongeza chura wangu kidogo kidunchu nimeshindwa mazoezi hivi zile dawa za mitishamba za insta ni za kweli? ahahaa
[emoji28][emoji28][emoji28]inabd ufanye siri asijue kama mm apaUwiiiiiiiiii jamani leo nitafanya kazi kama mambo yenyewe ndio haya?
Huu umbea itabidi mwanaume atakaenioa awe mvumilivu sana.
Asubuhi yote hii niko hapa/Insta kuzogoa umbea [emoji24][emoji24][emoji24]
Hebu mie nikaangalie umbea [emoji23][emoji23][emoji23]
Jamani mnisamehe nilikuwa naserebuka Inde huku nachungulia kwa KP.[emoji12][emoji12]wapi huko?
umeona wapi hiyoo picha?