Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Hebu tupishe bwana.Hili ni jukwaa la gossips na tuko hapa tunazogoa.
Kama kapigania hili kwa nguvu zake zote (kujadiliwa) kwanini tusimjadili?

Siwapendi wanafiki wanaopenda kuwapangia wenzao vya kufanya.
Umejuaje tumejadili kama husomi?
[emoji106] [emoji106] [emoji106] .....zaidi ya yote, tunayoyasema humu ni maisha yake halisi! Mwenyewe kaamua kujilipua mzima mzima no fake ID wala nini, so si tunajichotea miubuyu kutoka kwenye mablogu yake,...ukute ni yeye ( mange) anajibu hapa narudia ana vi id fekero ka mchanga humu JF!?!![emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
Ila hajiamini kama an individual, ukitaka kujua hilo, ni lazima akae na watu wenye status na majina, mtu anaejiamini hajali kukaa na mtu yeyote yule mradi yeye ni yeye. Fikiria alivyotoka Dubai, nini kilimfanya asikae kwa ndugu zake?
that's her problem kwa kweli!anahtaji ushauri kwa hilo!japo hashauriki!
 
Haaa haaa hapana chezea ....lance ni expert wa makofi ya mange, so ikabidi atafute John Cena la kike ...
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Dada ananyanyua vyuma balaaa!!heee mie vile siwezi hata kidogo!jamani mie mvuvi wa mazoezi![emoji57]
 
....ole wako akutie makufuli kwenye page yake IG, then ujipendeze DM or public kumuomba akutolee block, utashushuliwa hadi ukome, demu anapenda kuabudiwa yule sijapata ona
 
....ole wako akutie makufuli kwenye page yake IG, then ujipendeze DM or public kumuomba akutolee block, utashushuliwa hadi ukome, demu anapenda kuabudiwa yule sijapata ona
bahati hiyo kwangu haipati!!siombi kufunguliwa na mtu yeyote mie maana sio chakula kile
 
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Mungu anisamehe sijui yana raha gan
 
Ata mm sijaiona
 
Katumia akili sana (kama alichokisema ni kweli) kuhandle hii issue.
Na hivi ndivyo tunavyotakiwa kuishi na max zetu ladies.
Kuachana sio ndio kuwa maadui,kila mtu amove on na maisha yake kwa amani kabisa.
Kweli kabisa hujui ya kesho
 
Kama Leo sijapigwa block cjui manake mi ni die hard fan wake...(Tahadhari humu JF ana Fekero ID kama chawa, alishaniambia DM)...so anakufatilia huku anaenda kukunyoosha IG
Atakujuaje kwa insta kama mtu upo uku
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] uwiiii Miss una mkwara
 
shosti uchawi upo .uganga upo ulozi upo! nilipata majanga shost wangu mimi mtoto wa watu kidogo nife ,piga maombi hakuna nabii tz hii hajaniombea wapi???? tuishie hapo
Pole mpenz uchawi upo sana kama hayajakutokea uwezi amini
 
Mhhhhh
Deep...deeper.
Ila hawa wadada wa mjini wamefanikiwaga kutushika kwa huu ugomvi wao usiokwisha.
Ila nikikumbuka lile group lao enzi zile za uturn unawish ungekuwa wewe aya maisha acha tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…