Enzi za neck massage.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti msijali sitoandika jina la bidhaa,nitaandika neck massage.
Hao wanakoenda kuchukua hawasomi kwenye blog yake?
Kujitia aibu tu.
Ningekuwa mimi ndio misukule yake ningeenda kuchukua hiyo neck massage na bonge la niqab [emoji23][emoji23][emoji23].
Ila jamani kumiliki kile kitu ni kujitakia pressure tu,dunia haina siri.
Mara siku umeumwa hoi watu wanakuja kukupeleka hosp wakati wanatoa nguo kabatini kukuvisha hiloooo.
Lahaulaaa unaweza kupona ghafla [emoji23][emoji23][emoji23]