Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
ahahaaa kwani le mutuz hafai jamaniHivi Nasra bado yuko na le mutuz?...nimesoma nae yule alikuwa matawi hataree wenyewe wanajiita spesho order from Airport (IFM)...kaja kuishia kwa lemutuz?!??
[emoji28][emoji28][emoji28] alidanganyika na jina la Baba Waziri mkuu wa zamani kuja kustuka kila siku mahotpots ya nyama yanaisha haachiwi ata mia kaenda kuyabwaga kwa mange nilicheka sanaahahaaa pedeshee bubu
Bado yupo nae mama mpk picha anapiga yupo kitandani kwa lemutuz downtown na location juu [emoji28][emoji28]ila watu wana moyo si kwa mwili uleHivi Nasra bado yuko na le mutuz?...nimesoma nae yule alikuwa matawi hataree wenyewe wanajiita spesho order from Airport (IFM)...kaja kuishia kwa lemutuz?!??
Mbona baadhi ya watu wamepona sana kwa dr year tatizo gharama zake ni kubwa sanaAu Ndio maana imefanyika juu chini dr Mwaka afungiwe kijiwe chake maana watu wamelishwa unga wa dengu mtupu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kama zile tuhuma ni za kweli mheshimiwa atahisi mkewe kazitoa nje!! we hujaona mange anadai wife wake eti alikuwa analalamikaugomvi kipivi? kwani makonda kagombana nae?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] yani Mange akiamua kukuanika anakianika kama mtoto mdogo looohh!Mwenzangu mi mwenywe nimeshangaa
Balaaa...Ngumu kumesa [emoji85] [emoji85]nimeanza kumsoma mange siku nyingi, tangu enzi za blog lakini kichambo cha leo kwa muheshimiwa kimevunja recodi ya vichambo vyote vilivyopita.....khaaah!!!
Balaaa...Ngumu kumesa [emoji85] [emoji85]
[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu ndo mpiga kampeni mashuhuri wa CCMHakuna mtu anaye nikera kama huyu Mange na wanaomshabikia. Hakika siku zake zinahesabika na atajuta.
Ni shidaaahHahahaa eti Joti ana stress za kukosa kilainishi[emoji87]
Miss kwa Yale mashauzi ya Nasra hapana kwakweli[emoji31] [emoji31] ....huyu bidada alikuwa anachukuliwa na watu wazito( BOT type) ukiweka na uzito wa babake.....yaani nashangaa kujiweka kwa le mutuz, big noooo!?!![emoji15] [emoji15] [emoji15]ahahaaa kwani le mutuz hafai jamani
le akili kubwaz u know!
...kweli wanaume wa kuoa wamekuwa adimuu duh duh!!!!..ujue le mutuz mostly anababaikiwa na mademu wa mikoani, lakini si kwa hapa dar, Nasra mtoto wa mjini, mjanja, halafu anazoo...Bado yupo nae mama mpk picha anapiga yupo kitandani kwa lemutuz downtown na location juu [emoji28][emoji28]ila watu wana moyo si kwa mwili ule
Sure hata shangazi yangu kapewa Bambino pale kwa Mwaka.Mbona baadhi ya watu wamepona sana kwa dr year tatizo gharama zake ni kubwa sana
Ndo uone duydyu haina mwenywe my dia [emoji23] [emoji23]...kweli wanaume wa kuoa wamekuwa adimuu duh duh!!!!..ujue le mutuz mostly anababaikiwa na mademu wa mikoani, lakini si kwa hapa dar, Nasra mtoto wa mjini, mjanja, halafu anazoo...
Baadhi wana ushuhuda ukiona haujafanikiwa jua bahat mbayaSure hata shangazi yangu kapewa Bambino pale kwa Mwaka.
Absolutely gen...sio siri huyu mkaka ana kiherehere sijapata ona[emoji31] [emoji31] [emoji31][emoji2] [emoji2] [emoji2] yani Mange akiamua kukuanika anakianika kama mtoto mdogo looohh!
Mkuu wa mkoa kweli wa kumsanua vile[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] !!
Aibu tupu yaanii!!
Wajiandae voongozi wa CCM wote wale vimbelefront!
Shoga hata Mbona Masimba mtoto wake alimpatia palee..yy mwenyewe kwa mdomo wake anakiri...Baadhi wana ushuhuda ukiona haujafanikiwa jua bahat mbaya
Weeh ya mboni sijaisikia ila najuaga aliangaika sana kuhusu kutafta mttoShoga hata Mbona Masimba mtoto wake alimpatia palee..yy mwenyewe kwa mdomo wake anakiri...