Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Hivi Nasra bado yuko na le mutuz?...nimesoma nae yule alikuwa matawi hataree wenyewe wanajiita spesho order from Airport (IFM)...kaja kuishia kwa lemutuz?!??
ahahaaa kwani le mutuz hafai jamani
le akili kubwaz u know!
 
ahahaaa pedeshee bubu
[emoji28][emoji28][emoji28] alidanganyika na jina la Baba Waziri mkuu wa zamani kuja kustuka kila siku mahotpots ya nyama yanaisha haachiwi ata mia kaenda kuyabwaga kwa mange nilicheka sana
 
Hivi Nasra bado yuko na le mutuz?...nimesoma nae yule alikuwa matawi hataree wenyewe wanajiita spesho order from Airport (IFM)...kaja kuishia kwa lemutuz?!??
Bado yupo nae mama mpk picha anapiga yupo kitandani kwa lemutuz downtown na location juu [emoji28][emoji28]ila watu wana moyo si kwa mwili ule
 
Au Ndio maana imefanyika juu chini dr Mwaka afungiwe kijiwe chake maana watu wamelishwa unga wa dengu mtupu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona baadhi ya watu wamepona sana kwa dr year tatizo gharama zake ni kubwa sana
 
Hivi na Joti wana ugomvi gani na Mange? Manake naye kaambiwa ana stress za kukosa 'kilainishi'[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
 
Mwenzangu mi mwenywe nimeshangaa
[emoji2] [emoji2] [emoji2] yani Mange akiamua kukuanika anakianika kama mtoto mdogo looohh!
Mkuu wa mkoa kweli wa kumsanua vile[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] !!
Aibu tupu yaanii!!
Wajiandae voongozi wa CCM wote wale vimbelefront!
 
nimeanza kumsoma mange siku nyingi, tangu enzi za blog lakini kichambo cha leo kwa muheshimiwa kimevunja recodi ya vichambo vyote vilivyopita.....khaaah!!!
Balaaa...Ngumu kumesa [emoji85] [emoji85]
 
ahahaaa kwani le mutuz hafai jamani
le akili kubwaz u know!
Miss kwa Yale mashauzi ya Nasra hapana kwakweli[emoji31] [emoji31] ....huyu bidada alikuwa anachukuliwa na watu wazito( BOT type) ukiweka na uzito wa babake.....yaani nashangaa kujiweka kwa le mutuz, big noooo!?!![emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Bado yupo nae mama mpk picha anapiga yupo kitandani kwa lemutuz downtown na location juu [emoji28][emoji28]ila watu wana moyo si kwa mwili ule
...kweli wanaume wa kuoa wamekuwa adimuu duh duh!!!!..ujue le mutuz mostly anababaikiwa na mademu wa mikoani, lakini si kwa hapa dar, Nasra mtoto wa mjini, mjanja, halafu anazoo...
 
...kweli wanaume wa kuoa wamekuwa adimuu duh duh!!!!..ujue le mutuz mostly anababaikiwa na mademu wa mikoani, lakini si kwa hapa dar, Nasra mtoto wa mjini, mjanja, halafu anazoo...
Ndo uone duydyu haina mwenywe my dia [emoji23] [emoji23]
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] yani Mange akiamua kukuanika anakianika kama mtoto mdogo looohh!
Mkuu wa mkoa kweli wa kumsanua vile[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] !!
Aibu tupu yaanii!!
Wajiandae voongozi wa CCM wote wale vimbelefront!
Absolutely gen...sio siri huyu mkaka ana kiherehere sijapata ona[emoji31] [emoji31] [emoji31]
 
Back
Top Bottom