Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Ndo maana nilikua naona picha za bhoke akipiga na gonga sasa nikajua tu labda wamefanana sio Wa mange,ndo unanitoa ushamba hvyo, huyo gonga Nina file lake kitambo tu,yan namjua vzur,aaaah ngoja binamu nitarud,wacha pressure ishuke kwanza
nimekumiss vibaya mnoooooo!!
 
Unamjua James delicisious??
 
View attachment 396799
Unamjua James delicisious??
Ina maana James delicious anatoka na frank? Inawezekana but sidhani coz hawa mashoga wana tabia tu za kuwaganda wanaume wanaowapenda na kuwapost na kujicommentisha. Na yale madanga yao ya ukweli hawayapost unless mzinguane kwenye hela ndo atakulipua, wanalinda biashara lol. Na hata kama wanakulana, Frank angemruhusu delicious amuite hubby mbele za watu, mtu ana familia na reputation yake atakubali issue yao iwe open? Huyu delicious si ndo alikuwa anapost picha za jux na kumuita majina matamu matamu, ni sawa na yule mwingine alomganda Raymond wa WCB.
Ndio dada yangu ujue dunia imeshavaa bukta sasa hivi.
Watu wanafanya vitu ukiambiwa hutoamini.
 
Hawa watakuwa sasa hivi hawatoki wameshazinguana ila itakuwa walipeana. Mashoga wana akili sana, sehem alipo hataki kuharibu hadi kikinuka akiona hakuna faida tena ndio anaanza kujiachia...
Ila nimesikia kuwa ukishapiga shoga humuachi mnagombana tu ila lazima mpeane tena.
Hatari hii.. Hawa watu sio wa kuwasogelea kabisa
 
Yarabiiiiiii akili yangu imeunga matukio 1000 ndani ya sekunde!
Sio kwa ubuyu huu!
Makonda ana hali gani huko aliko?
Aiseeeee am speechless [emoji85][emoji85][emoji87][emoji87]

Ndio dada yangu ujue dunia imeshavaa bukta sasa hivi.
Watu wanafanya vitu ukiambiwa hutoamini.

Mwenzangu!
Wambea weekend inaanza vizuri sana kwetu.
Sio kwa maubuyu haya!
mange na le mutuz Leo naona wameamua kutusuuza roho.,.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…