Kuna kitu nimeona ktk last post ya Mange kuhusiana na Makonda. Kwa wanajf tukiacha umbea kando nadhani wale wazee wa critical thinking mtanielewa. Makonda alipoanza kutoa tamko lake kuhusu mashoga wakamatwe pale alianza kujijengea vita ngumu mno na ninakumbuka hata Mange mwenyewe alimuonya.
Sasa Mange ameweka conversation kati yake yy na mtoa ubuyu ambaye ni gay(kwa mwelevu atajua tu nn kinaendelea) na Mange bila kuwa na hakika na hilo kwn kwa mujibu wa hiyo conversation inaonesha bado hajapewa hy sauti inayoprove kuwa mheshimiwa analiwa kiboga na anaiomba toka kwa huyo gay anadai hatamwonesha sura yake. Mhhhhhh sijui wenzangu kama mnawaza kama niwazavyo mie lkn kuna kitu hakiko sawa, kuna mtu anatumika ukizingatia ushoga kwa sasa umeongezeka kwa kiasi kikubwa na wakubwa serikalini pia ndo wanunuzi wakubwa wa viboga.
Ukirudi kwenye biti alilomchimba mwenye mkoa wa dar eti asithubutu kumshtaki kwani atachafua hali ya hewa obvious anataka kumpa jambajamba huyu mwenye kutukamata kwenye guest house tukiwa na michepuko yetu, na anadai hy ndio ticket yake ya kujia bongo na ole wamsumbue. Huyu dada anatatizo wakuu, anahitaji maombi basing kwenye post zake. Nafikiri Psychologists hapo mnaweza kupata chochote kitu kutoka kwenye posts zake na kuweza kujua anasumbuliwa na nini.