SIERA
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 2,789
- 3,413
sasa kwenda kwa mwaka ni ajabu kwani?! Na Mtu huwezi kuzaa mpaka uwende huko ?! Ujaona watu wanakaa kwenye Ndoa miaka 10 akitoka hapo baada Ya mwaka anazaa Na mwanaume nae hivyo hivyoKwani atakuambia shoga?Ohoooo mjini hapa.