Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Talaka yamchanganya Mange Kimambi, mwenyewe akanusha, talaka yaanikwa!

Binamu, yan umbea wangu wote nilikua sijui kama mange alizaa na frank gonga, jaman nimeshangaa,kumbe ndo baba bhoke?? Duh nawaza hapa ilikuaje kuaje maana jamaa duh
Jamaan warumi ata picha huoni walivyofanana hivi shoga aliyemaanisha lembebez sijui nan aliyezaa na mange
 
Hivi na Joti wana ugomvi gani na Mange? Manake naye kaambiwa ana stress za kukosa 'kilainishi'[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]
Kuna video clips zipo za joti anaenda dukani kutafuta vilainishi na anakosa mkuu
 
kama zile tuhuma ni za kweli mheshimiwa atahisi mkewe kazitoa nje!! we hujaona mange anadai wife wake eti alikuwa analalamika
Mchonganishi tu na maybe ana agender yake ya siri ya kuisambaratisha ndoa ya Makonda
 
Binamu, yan umbea wangu wote nilikua sijui kama mange alizaa na frank gonga, jaman nimeshangaa,kumbe ndo baba bhoke?? Duh nawaza hapa ilikuaje kuaje maana jamaa duh
Uwiiiiii Binamu nitakuchapaaaaa!
Huoni yule Bhoke anavyofanana na huyo Frank?
Haya hayo mambo yake baba Bhoke yanayokugunisha mambo gani?
Tupe ubuyu binamu [emoji39][emoji39]
 
Uwiiiiii Binamu nitakuchapaaaaa!
Huoni yule Bhoke anavyofanana na huyo Frank?
Haya hayo mambo yake baba Bhoke yanayokugunisha mambo gani?
Tupe ubuyu binamu [emoji39][emoji39]
Ndo maana nilikua naona picha za bhoke akipiga na gonga sasa nikajua tu labda wamefanana sio Wa mange,ndo unanitoa ushamba hvyo, huyo gonga Nina file lake kitambo tu,yan namjua vzur,aaaah ngoja binamu nitarud,wacha pressure ishuke kwanza
 
nasikia ni top flani amaizing
 
Dah, huyo jamaa kawamaliza sana vijana Wa watu,anapenda Tigo balaa bora mange alivyomkimbia , yan Nina file lake zitoooo mpaka natetemeka,aaah ngoja niombe ruksa kwa dada mange kwanza
Uwiiiiiiiii jamani jamani!
Kweli binamu una haki ya kushtuka.
Mimi sikutegemea hizi taarifa,na vile alivyo gentleman [emoji22][emoji22][emoji134][emoji134].
Kumbe ndio maana leo Le Mutuz kamtukana Mange kuwa baba mtoto wake ni shoga?
Mhhhhh nilitafakari hili jambo sana.
 
Back
Top Bottom