Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji134][emoji134][emoji134] leteni screenshots jamani.
Mimi naogopa kuingia Insta maana nitapotelea huko [emoji22][emoji22][emoji22]
Haa haa ha... Mtakatifu Ivuga umeuaSio tusi na ndio maana hata JF hajawaliwekea **** ila ukiandika jjesica inakuja *****
nimekumiss vibaya mnoooooo!!Ndo maana nilikua naona picha za bhoke akipiga na gonga sasa nikajua tu labda wamefanana sio Wa mange,ndo unanitoa ushamba hvyo, huyo gonga Nina file lake kitambo tu,yan namjua vzur,aaaah ngoja binamu nitarud,wacha pressure ishuke kwanza
Uwiiiiiiiiiiiiii jamani jamani!View attachment 396799
Unamjua James delicisious??
Ndio dada yangu ujue dunia imeshavaa bukta sasa hivi.Uwiiiiiiiiiiiiii jamani jamani!
Nimechoka [emoji24][emoji24][emoji24]
Ina maana James delicious anatoka na frank? Inawezekana but sidhani coz hawa mashoga wana tabia tu za kuwaganda wanaume wanaowapenda na kuwapost na kujicommentisha. Na yale madanga yao ya ukweli hawayapost unless mzinguane kwenye hela ndo atakulipua, wanalinda biashara lol. Na hata kama wanakulana, Frank angemruhusu delicious amuite hubby mbele za watu, mtu ana familia na reputation yake atakubali issue yao iwe open? Huyu delicious si ndo alikuwa anapost picha za jux na kumuita majina matamu matamu, ni sawa na yule mwingine alomganda Raymond wa WCB.View attachment 396799
Unamjua James delicisious??
Ndio dada yangu ujue dunia imeshavaa bukta sasa hivi.
Watu wanafanya vitu ukiambiwa hutoamini.
Hawa watakuwa sasa hivi hawatoki wameshazinguana ila itakuwa walipeana. Mashoga wana akili sana, sehem alipo hataki kuharibu hadi kikinuka akiona hakuna faida tena ndio anaanza kujiachia...Ina maana James delicious anatoka na frank? Inawezekana but sidhani coz hawa mashoga wana tabia tu za kuwaganda wanaume wanaowapenda na kuwapost na kujicommentisha. Na yale madanga yao ya ukweli hawayapost unless mzimguane kwenye hela ndo atakulipua. Na hata kama wanakulana, Frank angemruhusu delicious amuite hubby mbele za watu, mtu ana familia na reputation yake atakubali issue yao iwe open? Huyu delicious si ndo alikuwa anapost picha za jux na kumuita majina matamu matamu, ni sawa na yule mwingine alomganda Raymond wa WCB.
Samahani ya nini bwana leta shots hata 100!View attachment 396812View attachment 396813View attachment 396814View attachment 396815View attachment 396816View attachment 396817sorry jamani wadau kama nawachosha na hizi attachments ila kuna member humu kaniomba nimscreenie chochote kwa mange coz yeye ana kufuli la kufa mtu..
Nyie huyu james jaman,khaaa haya binamu naona umejionea sasa ya mzazi Wa mange, naona james kapewa kif**r mpka anamuita hubby wake, aaah mke mwenzie na mange ana mamboUwiiiiiiiiiiiiii jamani jamani!
Nimechoka [emoji24][emoji24][emoji24]
Nifah unapenda sana ubuyu,,,ukija mwingine ni pm bana nisipitweSamahani ya nini bwana leta shots hata 100!
[emoji39][emoji39][emoji39]
Unanipa raha sana.
Umeona eeh? Sasa hivi ni mwendo Wa umbea mwendo kasi, na huyo gonga ujue alikua mchepuko Wa jide sijui waliishiaga wapi mmh ngoja ninyamaze warumi mieMwenzangu!
Wambea weekend inaanza vizuri sana kwetu.
Sio kwa maubuyu haya!
Yarabiiiiiii akili yangu imeunga matukio 1000 ndani ya sekunde!
Sio kwa ubuyu huu!
Makonda ana hali gani huko aliko?
Aiseeeee am speechless [emoji85][emoji85][emoji87][emoji87]
Ndio dada yangu ujue dunia imeshavaa bukta sasa hivi.
Watu wanafanya vitu ukiambiwa hutoamini.
mange na le mutuz Leo naona wameamua kutusuuza roho.,.Mwenzangu!
Wambea weekend inaanza vizuri sana kwetu.
Sio kwa maubuyu haya!